Recent content by The Cock

  1. The Cock

    Update: Siku ya 8 toka nimeacha pombe maendeleo ni mazuri sana

    Naungana na wewe, yesterday was my last
  2. The Cock

    Azam tv na Kix movies

    Waweke movie za kizungu tunawachoka hao wachina kila siku
  3. The Cock

    Polepole apuuzwe kuhusu gesi

    Kwa hiyo pamoja na nchi yetu kuwa mzalishaji wa gesi unaona bei tunayouziwa ni sawa? Hizi kampeni za nishati safi zimewezesha vipi wananchi kununua gesi kwa bei rafiki au mnadhani ukigawa mtungi ndo umemaliza!!
  4. The Cock

    Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

    Simu zangu mbili kwa nyakati tofauti nawakabidhi Polisi IMEI hazikupatikana hadi kesho, zaidi wanakusajili na kukuomba uwaachie mawasiliano yako ndo imetoka hivyo! Ifike mahala TCRA wapewe nguvu na wawe na ofisi kila Mkoa wadili na vitu kama hivi
  5. The Cock

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    20:40, NMB jumbe zimeanza kutiririka!
  6. The Cock

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Mnazingua nyie watu wa mfumo, mnatukwamisha sana! Imagine leo e-Loan haifanyi kazi toka asubuhi
  7. The Cock

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Hivi mbn ikitokea fault kwenye Mpese, tigopesa na wengine hushughulikiwa kwa haraka? Leo siku ya ngapi au huko Tamaasemi hawana wataalamu wa kutosha?
  8. The Cock

    Matoleo ya baiskeli Tanganyika

    Itakumbukwa pia ndicho kipindi kulikuwa na ushuru wa baiskeli, unakatiwa kipande Ile stika unabandika usibugudhiwe na sungusungu!!
  9. The Cock

    Matoleo ya baiskeli Tanganyika

    Tulikuwa na Raleigh migamba miwili!
  10. The Cock

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Utakuwa udhaifu tu wa mfumo! Wanazikosesha benki mapato na pia kuwakwamisha wahitaji!
  11. The Cock

    CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

    Poleni! CHAKUHAWATA makato ni Tsh. 5000/= flat rate bila kujali kiwango cha mishahara.
Back
Top Bottom