Recent content by That_Big_MAN

  1. That_Big_MAN

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Ukifanya kazi kwenye Makampuni especially haya ya Waarabu, Wahindi na wachina utamuelewa jamaa. Hizi kampuni zina unyanyasaji sana, na sababu ni moja wamezishikilia serikali yetu. Imagine kama Mkurugenzi wa Halmashauri wanaweza kumuhamisha kisa tu anawasumbua, ndio mfanyakazi kuheshimu madai...
  2. That_Big_MAN

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Bro, unaishi nchi gani? Waajiri wa viwanda na makampuni asilimia kubwa hawajali kuhusu Mikataba let alone kuiheshimu hiyo mikataba. Sio CMA wala Workers Union zinazojali sababu wamiliki wa makampuni na viwanda hivi wengi wao ndio wafadhili wa chama tawala.
  3. That_Big_MAN

    Siasa za KiBongo: Makala | Sura ya siasa zetu — Sehemu A

    Ukifuatilia mapambano ya kudai uhuru wa Afrika, Nelson Mandela wa Afrika kusini alitumia mfumo tofauti kabisa na Mwalimu Nyerere wa Tanganyika. Kuna wakati hata wawili hawa walitofautiana mitazamo juu ya mbinu zao kisiasa. Hawa wawili ni alama ya mbinu hizo za kisiasa. Duniani kote, kuna...
  4. That_Big_MAN

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    🤣. Hii inakuwa hujaacha. Ulevi inabidi uanzie moyoni mwako mwenyewe.
  5. That_Big_MAN

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    🤣 it's like a methadone.
  6. That_Big_MAN

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    Sure ni ngumu sana. Si rahisi, na experience inaonyesha ukirudi, unafungulia bomba hasa🤣 Kwanini uliacha?
  7. That_Big_MAN

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    Hello JF. Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k. Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15. Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili...
  8. That_Big_MAN

    Nakala rasmi ya Hukumu ya kesi ya uchochezi iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Tundu Lissu

    Naomba kuelimishwa, kule Kisutu Lissu alikuwa na kesi ya Uchochezi? Je iliisha? Kama bado hatma yake nini kufuatia hukumu hii?
  9. That_Big_MAN

    Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    Hii comment yako naona wadau wameruka nayo kibashite mno.🤣
  10. That_Big_MAN

    Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

    Kaka, siasa za Middle East ni complicated sana. Hivi unajua kuna wakati Hamas ilikuwa inafadhiliwa na Israel & US ili kuishusha nguvu PLo ya Yaser Arafat?
  11. That_Big_MAN

    Kwanini baadhi ya wanawake huwaacha wanaume wakati wanapopitia kipindi kigumu?

    Wapo pia wanaume wanaishi na wanawake kipindi kigumu, kisha wakipata pesa wanawatupa hao wanawake.
  12. That_Big_MAN

    Klabu ya Young Africans imemutambulisha Fadlu Davids Kama kocha mkuu

    Hakuna jambo silipendi kama kubadilisha badilisha makocha kila mara. Team tunahitahi tuwe na coach anayeendana na falsafa ya mpira wa Yanga then aachwe afanye kazi. Ups and downs ni jambo la kawaida kabisa kwenye soccer. Huu ujinga ina bidi ufike mwisho.
  13. That_Big_MAN

    Klabu ya Young Africans imemutambulisha Fadlu Davids Kama kocha mkuu

    Yanga nadhani kuna shida namna tunavyopata hawa makocha. Nahisi kuna upigaji fulani. Hivi, ni cost kiasi gani kama hasara team inaingia kwa kuvunja mikataba ya hawa makocha?
  14. That_Big_MAN

    Tundu Lissu anaachiwa Tarehe 6. Lema ndicho alitaka kusema, lakini ameandaa vita na wanaharakati ambao hawataki maridhiano. Kipima upepo

    CHADEMA hawajakataa maridhiano, walichokataa ni Maridhiano ya hadaa. Tukumbuke CHADEMA walijaribu maridhiano 2022 wakagundua kuwa wanatapeliwa tu.
  15. That_Big_MAN

    Buriani Amina Chifupa!

    Enzi hizo.
Back
Top Bottom