Recent content by thanzania

  1. thanzania

    Wakazi wa Mbagala na tabia za ajabu ajabu

    Vp ulifungua super market nn naona hoja yako umezungumzia sana super market
  2. thanzania

    Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

    Kiwanda cha simu kimeshaanza kazi alicho ahidi kukijenga
  3. thanzania

    Car4Sale Tunauza magari ya kila aina

    Na je dhamana ni nini baada ya kuchukua gari
  4. thanzania

    Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

    Nimefungua haraka haraka kusikia bei sawa na bure lakini nilioyakuta humu sio sawa na bure
  5. thanzania

    Muongozo kwa wana CCWT wote namna ya kuepuka kufumaniwa kwa kupitia simu

    Mtihani nilioupata na bado haujaisha bado mbichi nilinunua simu mpya ile ya zamani nikampa wife ila nilifuta kila kitu kumbe bwana wapo wanawake wanaojua kuchea Sim alakuta sms zangu nyingi nlizo kua nawatumia michepuko yangu akawa anaitumia mm lkni kuangalia zinafanana na sms zangu nilizo...
  6. thanzania

    DPP anaendelea kuwadhulumu viongozi wa dini

    Na kingine tumejawa na unafk mkubwa ambao ndio tatizo kubwa zaidi linalotusumbua
  7. thanzania

    DPP anaendelea kuwadhulumu viongozi wa dini

    Sisi waislam hatuna umoja
  8. thanzania

    Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

    Mi nipo tayri kuitwa baba tukutane pm
  9. thanzania

    Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

    Yote haya kutafuta nini hasa papuchi
  10. thanzania

    Prof. Ibrahim Lipumba: Serikali Itangaze Kurejea Kwa Mfumo Wa Chama Kimoja Cha Siasa

    Leo ndo anajua kua kunahujuma wanayofanyiwa wapinzani
  11. thanzania

    Gari aina ya kluger inauzwa

    Hauna bei
Back
Top Bottom