Recent content by thadeostephano

  1. thadeostephano

    Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

    Jaman tuomba matikeo
  2. thadeostephano

    Ndg. Patrobas Katambi anahitaji tiba ya haraka sana (Seriously)

    Yan katambi anaongea jambo halina hata maana.hiv alipewaje ukuu wa wilaya .ila maajabu aise..
  3. thadeostephano

    Wizi unaozidi kufanywa na Startimes kupitia vifurushi naombeni TCRA mulitizame hilo

    Mie statime nilisha chana nao..niwez kabida ndugu.nilisha jiunga na azam
  4. thadeostephano

    Mbatia anatumika, ameshindwa kuielewa pointi muhimu, apuuzwe

    Mbatia saiz simkubalia hata chembe.anatumia na ccm kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. thadeostephano

    Hii ya James Mbatia(NCCR), kuwapokea Madiwani wa CHADEMA waliojiunga CCM, imekaaje?

    Mbatia utavuna unacho panda..acha siasa hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. thadeostephano

    Hii ya James Mbatia(NCCR), kuwapokea Madiwani wa CHADEMA waliojiunga CCM, imekaaje?

    Sasa mbatia sisi tunataka mabadiliko .uko kuwa na ccm kama mtoto wakambo..nilikua nakukubali kuanzia leo navua uanachama wa chama hakika Sent using Jamii Forums mobile app
  7. thadeostephano

    Arusha: Aliyekuwa Meya na Mkurugenzi wamwaga machozi makabidhiano ya Ofisi

    Kumbe kashawishika kujiunga na ccm..hapo kuna jambo lasiri..ila kwa kweli hawana chao.na hawapewi kazi..waliounga juhudi ni wengi na kzi ni chache sana
  8. thadeostephano

    Baba lao video is Out (Diamond Platnumz)

    Kweli mond sijamuelewa na huu wimbo.cha kwanza ni mmbaya hatari..hauna ubunifu wowote
  9. thadeostephano

    Nionyeshe kipindi kizuri Channel Ten nikuonyeshe samaki mwenye matege

    Chanel 10 sijawahi kuangalia na siwezi angalia. Haijawahi nivutia.
  10. thadeostephano

    Paul Makonda: Kama siyo njaa ningewajibika kwa kujiuzulu

    Hata lolote huyo wa kolomije
  11. thadeostephano

    Masanja Mkandamizaji punguza show off na kujipendekeza unaboa, utumishi wako unatupa mashaka

    Hata mie masanja naona kama dish bovu..aijawi kumelewa.sijuwi waumini wake wanamuelewaje huyu jamaa
  12. thadeostephano

    Fanya hivi Demu akikuzungusha muda mrefu!

    Unawaza tu mapenz..tumia akili yako kuwa na ubunifu ktk maisha
Back
Top Bottom