Kweli kabisa. Njia pekee ni mapinduzi.
Trust me, viongozi wengi kwenye nafasi muhimu za usalama na siasa ni MAJAMBAZI.
Ni vile tu neno kiongozi na neno serikali au niite mwamvuli unawapumbaza wananchi wengi masikini na dhaifu.
Hawa MAJAMBAZI hawawezi kujali lolote bila kuwaondoa kwa nguvu au...
Take it easy bro!
Kwa experience yangu wanawake wanapenda wanaume wanaofahamu kutatua matatizo.
Ukishindwa kumwonyesha good time bila hela wewe ni weak man. Life ipo na adventures nyingi na mwanaume yeyote anayejipambania hawezi kosa pesa yakawaida tu na ukiishi in a moderate way huwezi...
Haipo hivyo rafiki.
Japo sifahamu ni lini lakini haiwezi kuwa mbali. Haijalishi upinzani utaingia kwa njia gani.
Nakuhakikishia so many people will get executed.
Naogopa kusema hii itaenda hadi kwa ndugu wa wahusika ambao hawana hatia.
Na hii hali itakuwa inajirudia tawala tofauti zikishika...
Mkuu, kauli zako za dharau tunazisikia vyema sana.
Tumieni vizuri kipindi hiki.
Yakitokea mabadoliko (na hakika yanakuja) wanaojiita watawala na njie wapambe mtajuta. Usisahau hili. Ni swala la muda tu.
Ukiwa na akili utatazama mbali utaelewa nachosema.
Nenda kwenye mikutano ya wanasiasa uone wanaoitwa wananchi walivyochoka, sura hazina nuru, mavazi duni kupita kiasi lakini wanavyoshobokea hao wanasiasa inashangaza sana.
Njaa mbaya sana.
Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾
Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
Watu wa CCM pekee wataenda. Maoni yataonyesha wapinzani walihusika kupanga uchochezi na vurugu.
Hakuna kwenye akili atashiriki jambo lolote lile linanahusisha SERIKALI HARAMU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.