Recent content by Testimony

  1. T

    Honda Odyssey inauzwa

    Mkuu sasa naamini kwa kushusha bei utauuza huu mchuma! Kwa 15M lazima kuna mtu atafika bei...ndio maana nilikushauri uiuze kwa 15M
  2. T

    Baada ya rufaa, Mahakama yaamuru DOWANS kulipwa fidia na TANESCO bilioni 96

    Zomba! Zomba! Zomba! Unataka ushahidi? unadhani hili halijulikani au ndo zile za funika kombe mwanaharamu apite? we subiri tu. baada ya CCM kutoka madarakani ushahidi wote utaonekana. Uzuri ni kuwa si muda mrefu kutokea sasa CCM haitokuwa madarakani na haya yote yatatoka. na hapo ndo utauliza...
  3. T

    Baada ya rufaa, Mahakama yaamuru DOWANS kulipwa fidia na TANESCO bilioni 96

    Godwin Ngwilimi mwanasheria mkuu wa Tanesco. Huyuhuyu alikuwa mwanasheria mkuu wa Vodacom. Vodacom inamilikiwa na Rostam Aziz. Richmond inamilikiwa na Rostam Aziz. Richmond ilinunuliwa na Dowans...ambayo nayo inamilikiwa na Rostam Aziz. Godwin Ngwilimi leo yuko Tanesco kuhakikisha nini? deni la...
  4. T

    Honda Odyssey inauzwa

    Nice car. nadhani kwa 15M unaweza kuuza, ama?
  5. T

    Serikali yatangaza rasmi Mikoa mipya 4 na wilaya 19

    we have more relevant issues to tackle than expansion of government!
  6. T

    AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

    Greatest Accolades comes with Greatest Responsibilities. as advised above, my take would be to invite you into more forums especially political, international and other thorny issues involving the nation at large. YOur inputs therein would of course be very valuable for the country. My heartfond...
  7. T

    I AM WOMAN…. A Woman I am… HAPPY WOMAN's Day to My Fellow Women.

    This all sums up to a Multi-Faceted Creature...and explains why you never know with women! You may think she is now a lady leaning on you kumbe she is in a manhood mood and you must simply give way for her to pass. Yes, you never know with women! Happy to you all...Women out there!
  8. T

    Kwa wazazi tu…

    deservingly true!
  9. T

    Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

    nadhani niko wazi kwenye hili. ana sifa zote kasoro kitu hicho pekee. je unaweza kuishi na mke huku ukijua kuwa itakapokuja tendo la ndoa wewe utaachwa hujaridhika na si kwa sababu zake binafsi bali kwa 'maumbile' yake yalivyo?
  10. T

    Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

    hili si kweli. nampenda sana tu. kwani ukimpenda mtu huoni dosari yake hata kidogo? sidhani kama ni kweli. ndio maana wanasema ukipenda chongo utaona kengeza. ila kwenye kwa sasa navumilia kwani nahisi ngoni sio kila kitu kwneye ndoa. ila shaka ni kuwa, je hilo ni la kweli au ndo na mimi naita...
  11. T

    Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

    Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe...
  12. T

    Akaanza Kutetemeka Alipomuona

    siku nyingine na ww njoo na gari ajue na ww unalo!
  13. T

    Madaraja mazuri duniani yafaayo kutembelewa na watalii duniani

    tusubiri kigamboni bridge litatutoa!
  14. T

    Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    Ni kweli Jaji Mkuu (JM) na Mkuu wa Usalama wa taifa ni ndugu wa damu, baba mmoja mama mmoja. Ni kweli pia kuwa katika mchakato wa kupata JM, usalama wa taifa uhusika sana. Ktk mchakato wa safari hii, JK alimweleza TISS Boss kuwa hapaswi kuhusika kwenye mchakato kwa vile ana conflict of...
  15. T

    Kabila amuangukia Kikwete

    Kabila alitoa $1M au zaidi, kumsapoti JK kwenye uchaguzi uliopita. si ajabu basi JK nae akatuma tumajeshi ketu kule kwenda kulipa fadhila. si unajua sisi ni waafrika, so kulipa fadhila ndo norms zetu? Hususan kwa vile Kabila hana haja na tusenti ambao hata hivyo sisi wenyewe hatuna. Lakini...
Back
Top Bottom