Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mpamaa, jijini Dodoma. Kwa sasa tunaishi kwa hofu kutokana na vitendo vya wizi vilivyokithiri katika eneo letu. Cha kusikitisha zaidi, watu wamekuwa wakiibiwa hata nyakati za mchana, hali inayotufanya tushindwe kuwa na uhakika wa usalama wa mali zetu.
Kinachotushangaza...
Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.
Licha ya hali hiyo, wanafunzi wanaendelea kulazimishwa kuishi mabwenini bila hatua madhubuti za kufanya usafi na kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.