Inawezekana umeshangaa lakini ndo ukweli kwamba NASA Taasisi kubwa ya Marekani inayohusika na Masuala ya Anga iliwahi kuwepo Zanzibar 👋.
Hii ni historia ambayo Watanzania wengi huenda hawaifahamu! 🇹🇿
Miaka ya 1960, NASA ya Marekani ilikuwa na kituo cha kufuatilia vyombo vya anga kilichopo...
Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! 👀
WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji.
💑 Ukiweka Everyone – Kila mtu anaweza kuona namba yako.
📞...
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya watumiaji wa Android kukumbana na tatizo la Boot Loop baada ya kufanya update ya Google Play System na simu kujifanyia Restart.
Tatizo hili linaweza kuifanya simu yako ishindwe kuwaka kikamilifu, badala yake kubaki kwenye logo na kujirudia...
Dear Google Do better Please 💡
Google bhana sijui anajionaje, Google imeongeza uwezo wa kubadilisha muonekano wa App Icons kwenye simu za Pixel kupitia Custom Icon Styles, lakini inaonekana si kila mtu ameridhishwa na matokeo yake! 👀
Baadhi ya mitindo ya icons inaonekana kutokuwa na mvuto...
Hivi utajisikiaje ukawa unanunua 😃 Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! 😳🔥
Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa...
Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.😱💰
Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu...
Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.😱💰
Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu...
Watu wengi wanadhani Smart TV ni kifaa cha kuangalia filamu na vipindi tu, lakini kuna jambo ambalo huenda hulijui! 👀
Baadhi ya Smart TV zina teknolojia inayoitwa Automatic Content Recognition (ACR), inayoweza kutambua maudhui unayotazama na kukusanya taarifa hizo kwa ajili ya matangazo...
Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro zinakaribia mwisho wa muda wake wa kupata updates ya Mfumo pamoja na Security.
📅 Ratiba ya mwisho wa updates kwa baadhi ya Simu za Google Pixel:
✅ Pixel 6 na Pixel 6 Pro: Oktoba 2026.
✅ Pixel 6a: Julai 2027.
✅ Pixel 7 na Pixel 7 Pro: Oktoba 2027.
✅ Pixel 7a: Mei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.