Recent content by Team JPM

  1. T

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Sasa nini kilikutoa private sector?. Serikalini hauingii tu na kupata majukumu, bado wanawasoma Tania na kwa mtindo huu wa kutoa SIRI ZA OFISI, Jiandae kwa barua ya uhamisho "MPOKEE NA UMPANGIE MAJUKUMU'
  2. T

    MSAADA WA KISHERIA: Pesa ya Fidia ya Nyumba Mil 100 ya Mama Imeingia kwa Mtoto wa Miaka 20 na Amekataa Kurudisha

    Kuna ukweli haujasemwa hapa. 1. Mil 100 isingeweza kulipwa kwenye akaunt isiyo na jina la mlipwaji, hakuna kampuni yenye akili hiyo 2. Kijana wa miaka 20 ana sehemu ya mgawo katika mauzo hayo 3. Kama nyumba ya urithi kuna msimamizi wa Mirathi 4. Kijana hawezi kumdhulum mama yake mzazi...
  3. T

    > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Hongera kwa bidii na uzalendo. Ongeza features za conversion to word or excell
  4. T

    Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

    Kutongoza unashindwa interview ya kazi utaweza kuwashawishi panel members kweli wakuajili. Kama beki tatu standard seven anakushinda
  5. T

    Hii ni kwa wale wanaopenda riwaya pendwa: Je, ni muhusika gani umpendaye kati ya Joram Kiango na Willy Gamba?

    Hata kama waliiga, wakufanya kazi kubwa kuakisi uhalisia. KIKOMO kuhusu wizi WA almasi Mwadui, na vingine vingi. Willy Gamba, Hana mfano. Tukimpata Jasusi mmoja Tu mwenye uwezo WA Gamba, Taifa , litasonga mbele. Uzalendo Kwanza. Kongole Kwa mtunzi hata kama alinakili
  6. T

    PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Hakuna chuo kinaitwa Online Open University of Tanzania. Atueleze alikosoma
  7. T

    CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

    Ulikuwa na jina kubwa na heshima mitandaoni, Kwa Vijana na Wana mapinduzi. 'HERI JINA JEMA KULIKO MARIHAMU NZURI' wewe umechagua Shekeli badala ya jina.
  8. T

    Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

    WAlioomba ufafanuzi ulikuwa mtego, Mello au Mod mwingine yeyote angejitokeza kutoa kauli, ingekuwa NI kesi kubwa kwamba amekiuka zuio Kwa kuendesha JF. Mshana arejeshe Ile namba, uchangiaji ufanyike lakini Mello au Mod wakae kimya ili kutojiingiza matatizo. Pia anayetuma, asitumie namba yake...
  9. T

    Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    Akili hazikutoshi au NI QT Class. 1. Umesema kocha kawaleta wachezaji anaowataka kisha akasema aliowataka wameenda Yanga 2. Umesema ameikimbia Simba alaf unasema ana uwezo mdogo. Dogo, Fanya application VETA nafasi NI chache.
  10. T

    UDSM mwaka huu kuna nini?

    1 ya 5 alaf analalamika, pale wanaenda clean tupu, Triple A.
  11. T

    Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Upande mmoja jengo la Tanesco, upande WA pili Tenki la maji. Vyote viliondolewa kupisha Barbara. Hadi stendi ya daladala ilihamishwa. Zingine NI porojo Tu, sababu NI za kimsingi wala hakuna hujuma
  12. T

    Simba kumuaga Mkude ni kumnanga na kujikosha tu, asikubali

    Club kuwaaga wachezaji NI heshima kubwa. Hata Chama alipaswa aunganishwe kwenye Hilo tukio. Walipohamia Yanga, isingekuwa rahisi kuwaaga. Kwa sasa NI Jambo jema. Mchango wao kwenye Simba ulikuwa mkubwa Sana. Tena pamoja na zawadi za club. Wanachama pia waruhusiwe kuwapa zawadi. Pamoja na...
  13. T

    Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Jamii forum iWE na muongozo WA kuzuia unyanyapaa, udhalilishaji na mashambulio ya kijinsia. Kizeeka hakuna jinsia. Hivi karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwadhalilisha wanawake, Mods, msiruhusu hili likaota mizizi. Hili NI jukwaa huru Kwa wote
Back
Top Bottom