Recent content by tawijeusi

  1. tawijeusi

    Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    Huu uzi ulinipa suspension nilihisiwa mimi ndio nimeuleta humu kipindi hiyo nilikuwa form four nilifahamika kama kijana machachari sana kwenye masuala ya Tehama na mtukutu shuleni
  2. tawijeusi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umetomb* mwizi
  3. tawijeusi

    Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

    Sabaya Sabaya Hebu tuliaaa dawa ikuingie
  4. tawijeusi

    Wrong Parking:Kwa nini kamatakamata hii isifanywe na wanausalama barabarani?

    Kuna siku waliwahi kunichapa 175,000. nikakariri sura zao na kijiwe chao wanachopaki mara nyingi basi hapa nipo mawindoni navizia tu wajichanganye
  5. tawijeusi

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    kumbe ni wewe mkuu ndio ulikuwa unakimbia huku unaonesha kana upo na msongo wa mawazo ilibaki kidogo upitiwe na bodaboda,Nilikuona mkuuu
  6. tawijeusi

    Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Bado wanadownload movie kuwa mvumilivu
  7. tawijeusi

    Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Jiandae kesho kule kwenye TUNDA KIMASIHARA kujionea ushuhuda jamaa alivyojilia mbususu waziwazi
  8. tawijeusi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Donge Nono [emoji16]
  9. tawijeusi

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali
  10. tawijeusi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Apewe Maandazi huyu
  11. tawijeusi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    lete namba nimehamia huu mkoa awe mwenyeji wangu
  12. tawijeusi

    Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

    Haya ndio matokea ya kutawaliwa na ccm mpaka leo
Back
Top Bottom