Pole sana kwa huo mtihan uliokupata,ushaur wangu ni kua dunia sasa imeharibika sana na masuala ya mapenz yanataka uwe care sana, kama kwel unampenda mshaur mfunge ndoa, na kama ukiona hataki bac tulia, na kua na subira, utampata atakayejua thaman yako na mtapendana na c kutapeliana.Ndo ushaur...