Recent content by Tanzanians

  1. Tanzanians

    Mererani eneo linachimbwa madini ila hakuna mtaa wa kitajiri na makazi mazuri ajabu

    Kule ni kama kuzimu hata miti tumeshindwa otesha kwa wingi
  2. Tanzanians

    Magufuli City kubadilishwa jina na kuwa 'Mji wa Serikali Mtumba' ni mkakati wa wanaCCM mtandao

    Wewe Wewe huwaga ni tahira flani hivi Kama Rais samia hafuati katiba yaani anafuata pale anapojisikia sembuse hivyo visheria vya jina la mji Acha ligi za kitoto
  3. Tanzanians

    Tusipokuwa makini watu wasiojulikana watakuwa paramilitary wing

    Uvccm ni paramilitary wanafanya maovu ili kufurahisha watawala kama sehemu ya kupata cheo
  4. Tanzanians

    Tusipokuwa makini watu wasiojulikana watakuwa paramilitary wing

    Watawala wa Tanzania hawataki kujifunza kwa inteharamwe wa rwanda walikuwa ni watu wasiojulikana wakaja iharibu nchi
  5. Tanzanians

    Huyu member huwaga ananshangaza sana

    Tanzania ni nchi inayosikitisha sana
  6. Tanzanians

    Zitto Kabwe kulamba Ubunge wa kuteuliwa na Unaibu Waziri.. Salum Mwalimu anaamini Samia hatamtupa

    Chama dhaifu kinasubiriwa kwa hamu sana kwenye meza ya maridhiano
  7. Tanzanians

    Zitto Kabwe kulamba Ubunge wa kuteuliwa na Unaibu Waziri.. Salum Mwalimu anaamini Samia hatamtupa

    Tuhuma za uoongo utoe wewe alafu lawama uwape chadema
  8. Tanzanians

    Zitto Kabwe kulamba Ubunge wa kuteuliwa na Unaibu Waziri.. Salum Mwalimu anaamini Samia hatamtupa

    Kwenye hii comment yako umesema tuliambiwa halima mdee atarudi chadema Swali langu ni nani alikuambia halima mdee anarudi chadema
  9. Tanzanians

    Zitto Kabwe kulamba Ubunge wa kuteuliwa na Unaibu Waziri.. Salum Mwalimu anaamini Samia hatamtupa

    Ni lini chadema walimuomba halima mdee kurudi chadema Sababu unakaa nyuma ya keyboard unatunga uongo
  10. Tanzanians

    Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Biblia inasema ester aliolewa kwa mchakato Kasome kitabu chote cha esta 2 Biblia inasema mfalme alifanya mchakato wa kutafuta mke wewe unasema alikuwa hawara Ila hakuna mtu mjinga mwafrika biblia imeweka wazi ila mtu anataka atunge uongo na tumwamini
  11. Tanzanians

    Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Miungu ya waafrika ni dhaifu ndo maana waafrika tulitawaliwa haikuweza kutupa ulinzi dhidi ya miungu ya watu weupe
  12. Tanzanians

    Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Esta ni jina la kiyahudi acha uongo yaanj spy nawakati mchakato wa kutafuta mke ulitangazwa waziwazi na ulifanyika bila kificho
  13. Tanzanians

    Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Wewe ni mjinga na biblia hujasoma unataka kutunga uongo Mfalme alifanya mchakato wa mke na ester alishinda na mjomba ake mordekai alikuwa ni myahudi wa waziwazi hakujificha
  14. Tanzanians

    Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Hujui hata kingdom zinavyooperate ila tatizo kubwa ujinga ndo unaokusumbua Watu wameoa wake na bado wanakuwa na mgogoro na still wanaishi nyumba moja cha kushangaza ni nini
Back
Top Bottom