Recent content by TANMO

  1. TANMO

    Rafiki wa Mume wangu............

    Haitaleta Matatizo yeyote, we Mzalie tu, hata akitaka watoto Kumi..
  2. TANMO

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Nikuulize mkuu. Je unapata hisia za kimapenzi Kwa namna yeyote Ile? Na kama ndiyo, unaitumia Njia gani kuzitawala hizo hisia?
  3. TANMO

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Hivi Wakati wa kudai Uhuru, Hawa waasisi wa Mataifa yetu wangekuwa wanawasujudia Wakoloni tungeweza kuupata Uhuru kweli?
  4. TANMO

    Kamati ya Bunge yataka wanaopita daraja la Tanzanite kuanza kulipia

    Hii kauli imenifanya niwakumbuke Profesa Kabudi na Profesa Kitila Mkumbo..
  5. TANMO

    Wadada wengi tunapenda kulizwa!

    Tutake radhi mafisi. Dada Gilesi popote ulipo, ulaaniwe. Blo angu Bujibuji Simba Nyamaume popote ulipo, Sema amina
  6. TANMO

    Siku hizi Mwanza haipendi tena kama zamani, kunani?

    Ukiachana na Dom, Dar na Kiazinikazi , ni mkoa gani mwingine ametembelea tokea alivyotufyyekea Ndugu zetu?
  7. TANMO

    Wadada wengi tunapenda kulizwa!

    Bloo angu, Kuna kugonga na kugongeka. Mungu aliepushia mbali🫣
  8. TANMO

    Wadada wengi tunapenda kulizwa!

    Gilesi alileta taharuki😀😀 Nakumbuka nilimtongoza na akanikubalia kabisa.. Bujibuji Simba Nyamaume nakusalimia Blo angu.
  9. TANMO

    Vp kama gari za Mawaziri, Naibu Waziri na RC zingepunguziwa herufi na kuongezewa "Three digits"??!!

    Hizo Namba za wizara zitapangwaje Mkuu? Ipi iwe 001 ipi iwe 027? Walau za mikoa tunaweza kufuata Alphabetical Order.. Kumbuka wizara zinaanzishwa Kwa Utashi wa Rais aliyeko Madarakani..
  10. TANMO

    Maombi ya Lissu kwa majaji dhidi ya hukumu yake, na kukaliwa kimnya, watanzania fatilieni kwa nini watoto wa majaji na mahakimu ni vichaa,ni matokeo..

    Aibu sana. Zama hizi Kila kitu kinasiginwa na hamna kitu Mtafanya.. Rejea na impeachment ya Nchimbi
  11. TANMO

    Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Mkuu maagizo siyo maombi.. Ni amri aidha utekeleze, au Utelelezwe wewe maporini uliwe na mafisi au Baharini Samaki wakugeuze Kitoweo...
  12. TANMO

    Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Kuna kuacha nafasi Kisha ukaacha na nafsi pia..
  13. TANMO

    Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Maagizo Mkuu. Majaji hawana namna, basi tu Jumba bovu wanaangushiwa wao..
  14. TANMO

    TANZIA: Doctor Sokile kuzikwa muda huu Mara Mjini!

    Poleni wafiwa.. Marehemu alikuwa Dokta wa Nini?
Back
Top Bottom