Recent content by Tanganyikani

  1. T

    Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

    Nichangie Zipigwe tena?
  2. T

    Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba).

    Haina tofauti na wadada wanaofanya massage na scrub kwenye Saloon 😀😀😀
  3. T

    Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

    Makamanda Shalom! Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa. Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
  4. T

    Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    Za Uzito mdogo wengi wanaongea katika mahakama za Wilaya so wanaongea wenyewe bila wakili. Sema mahakama za wilaya huwa zinawaachia matobo mengi sana hapo akienda Rufaa high court anatemwa
  5. T

    Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    Hakuna Hakimu au Jaji anaweza Kumfunga mtu ni Sheria ndiyo inayofunga
  6. T

    UKWELI MCHUNGU: Hakuna kitu CHADEMA itapata na kufanikisha bila kwenda kwenye meza ya Mazungumzo. Watasambaratika kama mchanga ardhini

    Bila Maridhiano maana yake Uchaguzi wa 2030 hawapo tena? Wanafikiria kwa kutumia makalio
  7. T

    Anatafutwa mtu wa kazi

    Aoe tuu kwa miaka 27 mbona naona anataka sifa za mke?
Back
Top Bottom