Recent content by TangaKunani

  1. T

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Maeneo yenye wakristo wengi SLAA na CHADEMA alipewa kura nyingi zaidi ya JK na maeneo ya Waislam wengi JK aliata kura nyingi sehemu zingine kama Bukoba vijijini ndio walikoamua kumnyima kabisa JK kura. Sasa mambo ya kudanganyana eti ohhh viongozi wa kidini wapige vita udini naona imekuwa kama...
  2. T

    SAID YAKUBU ndio msemaji wa SPIKA?

    Naomba kuuliza hivi hyu si anafanya kazi BBC swahili sasa imekuwaje amekuwa anatoa waraka wa kumtetea Spika au ni waraka uliotumwa BBC na wafanyakazi wa Bunge? au kuna jambo ambalo silijui ambalo wenzangu mnalijua?
  3. T

    Gazeti la THIS DAY na gazeti la RAI

    Hivi kati ya haya magaezti mawili lipi ambalo lina status ya kuheshimika?Maana naona gazeti la THIS DAY limekuwa likipata scoops za kila namna lakini halikadhalika kuna taarifa kuwa hili gazeti ni chombo za watu fulani fulani amabao wana ugomvi na liopo madarakani...lakini unaweza kusema the...
  4. T

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Written by KILASA MTAMBALIKE A former prime minister, Mr Joseph Warioba, and three other parties have filed a suit in which they are demanding 900m/- in general damages from the Executive Chairman of IPP, Mr Reginald Mengi and four others. The case, filed at the High Court by Adili...
Back
Top Bottom