Wahenga walisema mapenzi upofu, mapenzi ni zaidi ya elimu ya darasani. Hata mwenza akiwa sawa kabisa, shetani atapanda mbegu tu.
Mimi nakushauri kitu kimoja, badilisha kabisa aina ya maisha ili kumbukumbu zake zife/ Hapa hakuna siri tena, washiirikishe viongozi wa kanisa, wazazi na ndugu zako na...
Achana na mdudu anaitwa mapenzi. Na hasa uoneshe kumpenda kuliko maelezo, atafanya kila lililo mkononi mwake. Werevu wengi sana hata kwenye vitabu vitakatifu waliangushwa na kitu mapenzi
Ukifumba macho kwa kifo unafumbua macho ya rohoni na kujua wanaokupokea ni akina nani kutokana na ulivyojiandalia...
Wakatoliki tunaamini kuwa mpako wa mwisho hufuta madhambi yote na kufungulia mlango wa Mbingu...
RIP JPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.