Recent content by T14 Armata

  1. T14 Armata

    Masikini huwa hawaumwi macho? Sio rahisi kuona miwani uswahilini

    Nimezaliwa kwenye umaskini na kuuishi, sio mkubwa sana ila ni umaskini tu. Shule yangu ya msingi tangu darasa la kwanza mpaka la saba sina kumbukumbu kama niliwahi muona mtu yeyote shule na miwani. Shule ya sekondari nakumbuka kuna mtoto wa kike aliletwa na mzazi shule, kuja kumuombea ruhusa...
  2. T14 Armata

    Tasnia ya ponography kama vile wahusika wanaanza ku-left

    Hiyo ni sawa na fisadi kuokoka baada ya kutumbuliwa, bila kurudisha hela alizopata kwa wizi. Hata bongo wapo, wanapiga umalaya kisha wakichoka wanavaa magauni marefu na kujificha nyumba za ibada.
  3. T14 Armata

    Kurasa za Mitandao za Serikali kuweka vikolombwezo vya utani kwa mitandao ya kijamii ina manufaa yoyote kwa watanzania?

    Unaweza toa elimu in a funny way. Ukiwa serious sana hupati engagement na lengo la taarifa ni ifikie watu wengi. Hao wazee wanaolazimisha mambo yaende serious wao wenyewe hawapo serious kasoro tu wana bureaucracy nyingi. Kuwa mkali na serious haimaanishi ndio unafikisha ujumbe.
  4. T14 Armata

    Kurasa za Mitandao za Serikali kuweka vikolombwezo vya utani kwa mitandao ya kijamii ina manufaa yoyote kwa watanzania?

    Kuna mbibi nilimkuta TTCL customer service akanitaka nipige simu call center kupata maelekezo. Yani nipo ofisi za wilaya ila yeye anataka nipige simu inayopokea mtu yeyote na aliyepo call center hayupo familiar na eneo langu. Bora TANESCO huwa wanajua specific local area unayoiongelea kwenye...
  5. T14 Armata

    Kurasa za Mitandao za Serikali kuweka vikolombwezo vya utani kwa mitandao ya kijamii ina manufaa yoyote kwa watanzania?

    Wakiwa serious inasaidia nini? Au unadhani admin wa TANESCO ni fundi umeme?
  6. T14 Armata

    Viongozi wa Marekani wanaishi kwenye kambi za Jeshi kwa kuhofia kuuawa na Iran

    Viongozi wa Iran walikuwa kwenye mashimo maalum yenye zege nzito wala sio kambini. Ila waliuwawa.
  7. T14 Armata

    Watu Sita Wafariki Baada ya Ukuta wa Jengo Linalojengwa Kuporomoka Riverside - Nairobi

    Hakuna atakayewajibishwa. Kama kawaida ya Kenya. Wala hatua hazitachukuliwa, ujenzi mbaya utaendelea na ajari nyingine zitatokea tena.
  8. T14 Armata

    Hii ndio sababu Rwanda yenye eneo dogo inatabiriwa kuipita Tanzania kimaendeleo na kijeshi kufikia 2050, endapo Tanzania haitabadilika

    Rwanda vs Tanzania ni sawa na kulinganisha shamba la ekari 1 vs shamba la ekari 12. Shamba la ekari 1 unaweza tia mbolea vizuri, ukapambana na wizi wa mazao, magugu, umwagiliaji, mbolea ukanunua vizuri. Ila shamba la ekari 12 likakupa ugumu kidogo. Ila kiujumla with minimum effort shamba la...
  9. T14 Armata

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Hiyo possibility nimewaza. Vilevile baba mtoto anaweza angukiwa na kifusi uko akapotea, au akapata hela ila akaoa mwingine, au asipate hela. Huyu bwana kafanya gambling ambayo matokeo yake hatuna bado. Ni stake ya risk kubwa, na bado haina guarantee ya high return.
  10. T14 Armata

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Hakuna ushauri zaidi ya kuendeleza msimamo wako uliouchukua pale ulipoamua kumuoa huyo mkeo. Labda tu mwanamke ajue kabisa mtoto wake akuite baba na sio babu, na mwanao akuheshimu. Mengine vumilia huyo ni mtoto wa kike angekuwa wa kiume hapo ni ngumu zaidi. Hapo umebashiri, matokeo yanaweza...
  11. T14 Armata

    DOKEZO Kofia nyingi za Pikipiki zimeingia sokoni hazina ubora, hiyo ni hatari sana kwa watumiaji

    Boxer na Mchina wapi na wapi. Ni Indian brand hiyo, na hawana tabia ya kufanya outsourcing ya manufacturing wao wenyewe wanamaliza kila kitu.
  12. T14 Armata

    USM Alger yatwaa taji la CAF super Cup baada ya kuifunga Mamelodi Sundowns

    Yule anayejitafuna kila muda. Kwenye kombe la dunia hao wachezaji bishoo sikuwa nawapenda kabisa.
  13. T14 Armata

    Donda ndugu, ni nini?

    Kwani donda ndugu halitibiki likipata huduma stahiki. Maana vidonda vya kisukali navyo havitaki wapiga ramli.
  14. T14 Armata

    Donda ndugu, ni nini?

    Kisukali, bacteria na huduma mbovu za kufunga vidonda baada ya majeraha.
Back
Top Bottom