Siku hizi kuna waya feki nyingi ambazo hazina ubora, kwa wanaojenga systems sensitive kam anajenga makubwa ukitumia waya dhaifu kuna uwezekano wa kusababisha majanga ya moto. Ndo maana wako makini na wanachonunua.
Sidhani
kama Magu alikuwa mzalendo, labda kama kuna kipimo kingine .
Jamaa alikuwa saddist aliyejua kuchagua maneno mazuri ya kuwafariji masikini na wajinga.
Haya mabaya yoote yanayotokea katika utawala huu yaliasisiwa na Magu.
Maamuzi mengi ya bila kupita njia sahihi hayajaleta tija.
Magu alibomoa Kimara na wengi walipoteza makazi kwa kisingizio cha road reserve, leo hii hiyo hiyo reserve wnagawana wakubwa na kujenga biashara zao.
Tatizo lipo kwa Watanzania wenyewe, hao wenye ma yard wanafuata kile tunachopenda kuona au kusikia , wengi wetu tunaamini gari likitotembea km chache ndio zuri wao wanafanya kile tunachopenda.
Leo hii ukiwa na gari namba A hata kama ni timamu utapata taabu kuuza kuliko mwenye gari namba E mbovu.
Nilikuwa mpenzi wa kuangalia na kusikiliza podcast za m and 's , kwa sababu walikuwa wanawahoji watu makini na kwa muda wa zaidi ya saa moja. Lakini hivi karibu wamekuwa wakiwahoju watu wa hovyo na wasio na impact ya yoyote kwa mtu makini.
Kiufupi hujo mbele podcast yao itakuja kuonekaba kama...
Science ndio ina dictate hicho kisimu chako kiwe connected au la,
Si umeona juzi kesi ya lisu , mtandao ulikuwa haupatikani!! na huyu ni mtu tu anaamua azime au awashe.
Uchawi ni nadharia tu, toka nazaliwa sijawahi ona nguvu ya uchawi ikiwa na mamlaka kama ambavyo science ilivyo.
Inakuwa ngumu sana kwa Watanzania kupata international jobs na itakuwa mbaya zaidi huko mbele ya safari.
The elites kwa tamaa zao au ujinga wameamua ku compromise standards zao.
Ikitokea leo international firms zinahitaji majaji na mahakimu sidhani kama watampa thamani mtanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.