Recent content by sysafiri

  1. S

    "Bila kuwa na namba ya NIDA, hakuna mtu kuingia kanisani/msikiti kufanya ibada." Inaweza ikaja kutokea mwaka 2028. Who knows??!!

    Siyo hayo tu! Mengi yanakuja. Tunaingizwa taratibu kwenye mfumo wa Serikali moja ya dunia itakayo mtawala mwanadamu kwa kila kitu. La muhimu,Omba,Tubu dhambi,ishi maisha ya Usafi na Utakatifu.
  2. S

    kiongozi aliyefanya haya mauaji hakutakiwa kuwa madarakani mpaka sasa hivi.

    Kifo cha huyo mtoto kimetonesha Vidonda vya mauaji ya Okt.29,2025!
  3. S

    Tetesi: Inadaiwa kuwa IGP Camillius Wambura ameitwa mahakama ya ICC

    Ile ICC haiendeshwi kwa kificho! Nadhani Media za kimataifa mf.BBC,DW,nk zingekuwa zineshatangaza.
  4. S

    Chalamila akanusha kutaka kuzikwa Kislam

    Ameeleza vizuri! Siku ile aliongea kama utani lakini hakumaanisha azikwe kiislam siku akifa.
  5. S

    Mwenyekiti Baraza la vyama vya siasa Afichua Ujumbe wakusubiri Hisani Rais Samia

    Naona bila Chadema mambo hayaendi.
  6. S

    Kumbe ukipiga mswaki na dawa ya meno hupaswi kusukutua na maji!

    Kwa sisi tunaokimbizana asubuhi kwenda kwenye shughuli,ukishakurupuka kutoka kitandani sidhani kama utasuburi nusu saa nzima! Anyway afya nayo ni muhimu.
  7. S

    Mnatumia nguvu kubwa sana kujiaminisha kuwa Kuna chama cha CHADEMA nchini huko ni kujidanganya CDM ilishakufa kitambo sana

    Hapo naona unaisema CCM siyo CDM! CCM wanaikanyaga Katiba kila siku na wala hawafuati maadili! Wanaona ni Kijitabu tu. Kibaya zaidi wamevunja Haki za binadamu kwa mauaji ya MO29!
  8. S

    WAPO Radio FM yatangaza rasmi kusitisha matangazo yake yote kuanzia Novemba 16, 2026

    Sijaelewa Gamanywa alipata Uprofesa lini! Lakini alikuwa upande wa serikali muda wote! Sijui kuna nini?
  9. S

    Muda si mrefu CHADEMA wataelewa watu hawaoni umuhimu wao ila wanajipa ukubwa tu

    Chademaphobia inavyowatesa Watawala!
  10. S

    Tetesi: Je ni kweli Tundu Lisu kalazwa Muhimbili?

    Si kitu cha ajabu! Ana vyuma na risasi mwilini,ana kisukari na vyote hivyo vinampa stress kwa sababu ya kufungwa jela kwa uonevu. Pray for Lissu! Bado katika yote Mungu yuko pamoja naye.
  11. S

    We Hilda Newton wa CHADEMA kama unatukana ili kumfurahisha Maria Sarungi; Pole sana. Sheria zetu zipo very active

    Yaani mkiambiwa ukweli ndiyo mnatukanwa? Dawa ni kujibu hoja zao bila kuwaogopa!
Back
Top Bottom