Recent content by Sys-root

  1. Sys-root

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Inakuwaga baadhi tu sio wote
  2. Sys-root

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Zipo mbona mfano wizara flani wanapata siku 25 exta duty
  3. Sys-root

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ilivyoanzishwaga ndio ilikuwa Agency ila ni muda sasa tangu iwe mamlaka na ndio wanaosimamia ict yote serikalini
  4. Sys-root

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sio kila taasisi zipo vizuri kuna jamaa nimeona hapo juu anataka kwenda taasisi za elimu. Kule kama wewe sio upande wa academic usiende haswa hivi vyuo vikuu labda zile zilizo chini ya wizara ya fedha(ifm, tia)
  5. Sys-root

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi pia sijafikisha miaka mitatu ila nitahama tu kwa njia nyingne
  6. Sys-root

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi mkuu ulifanikiwa kulamba asali
  7. Sys-root

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Crdb ila hata wa NMB wamepata kwa taasisi yetu
  8. Sys-root

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Si umeingia jana
  9. Sys-root

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Usipo jiandaa vizuri kila siku utaona kama unaonewa
Back
Top Bottom