Uchumi hauwezi kuitwa wetu kama Watanzania wanabaki watazamaji wa fursa zinazozalishwa ndani ya nchi yao. Si lazima kila Mtanzania awe mmiliki wa mradi mkubwa, muhimu ni kuhakikisha kampuni na wananchi wa ndani wanapata nafasi katika mnyororo mzima wa thamani, kuanzia ubia, usambazaji wa vifaa...
Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM,
Mbowe aendelee tu na SACCOS yake.
Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM wakiwa njiani wakitembea kwa Miguu.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.