Hivi kuna mahala Tanzania hii kuna watu bado wanatumia maji ya kutoka mamlaka ya maji? Sehemu nyingi imekuwa ni ndoto iliyofutika. Ktk taasisi iliyofeel hii ya maji inaongoza. Katika taasisi wanabidii na wanapiga kazi,wafanyakazi wa TANESCO #1
CHADEMA imekuwa ni falsafa mioyoni mwa watu. Mnateseka sana. Hata muifute bado iko mioyoni mwa watu. Hata ikatokea leo uchaguzi huru na haki CHADEMA hata waweke jiwe litapita dhidi yenu.
Niamini hakuna anaewataka. Mmekalia kimabavu kutumia vyombo vya dola
Jamaa ameongea ukweli wa wazi sana. Kuna kipindi mimi nilikuwa najiuliza sana huyu Lisu anapata muda wa kusoma kuchanganua namna kujibu kwa wepesi na kwa usahihi kiasi kile. Huyu jamaa hapa anaongea ndio amenifumbua ni wepesi wa akili. Inazunguka chap imenasa imejibu. Ni kweli kabisa ni watu...
MIFUMO YAKO MWENYEWE...! HAPO NILIPOANZIA KUMKUBALI KIDUKU KOREA KASK. ANA MIFUMO YAKE YA MITANDAO ISIYOINGILIANA NA MINGINE YOYOTE.
FIKIRIA KAWAPIGA BITGET,KAPITA NA BINANCE. WOTE WANAJUA NANI KAWAPITIA,LAKINI HAWANA CHA KUMFANYA KWENYE UPANDE WA MTANDAONI,NA HIYO NI KSBB MIFUMO YAO...
Hivi hawa mahakimu,majaji,polisi na hawa wengine pamoja na kujijua mioyoni mwao hawako kwa ajili ya haki,wapo kwa ajili ya maslahi yao,wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya wengine na kwa makusudi kuminya haki za wengine je wanaweza kuwa wanajua namna umma unavyowachukia? Umma ulivyo against nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.