Recent content by swagy

  1. S

    Je, wewe unajua vizazi vingapi kutoka kwa babu yako? Na ukoo wako umehifadhi vipi historia yake?

    Mimi namfahamu Babu kizaa baba na bibi pekee,sijui wengine
  2. S

    Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

    Hatari sana,usipokuwa makini unaweza jikuta umejichukulia sheria mkono,huyo Kachoma aache kucheza na mishahara ya watu,akachezee mat **k ya mkewe
  3. S

    KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Unamwongelea Kachoma yupi,au huyu anayejinasibu kuwa alikuwa mfanyakazi wa ikulu,?
  4. S

    Wilaya ya Chemba yapata Baraza la Ardhi na Nyumba tangu kuanzishwa kwake

    Safi sana,lakini Wizara ya Ardhi naomba mtoe msisitizo kwa wenyeviti wa mabaraza ya ardhi kusimamia kesi kwa muda ,mimi nina kesi baraza la ardhi wilaya ya geita mjini,huu ni mwaka wa 4. Na tokea mwaka jana mwezi wa 8 hadi mwaka huu mwezi wa sita tarehe 11 hatujawahi sikilizwa,ina tia hudhuni...
  5. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Uko mkoa gani mkuu !? Mzigo unakufikia chapu tu, elfu 10 tu, karibu
  6. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Haiwezi kuoza mkuu, inavumilia sana, by the way naweza kuipaki kwenye ndoo ya lita kumi na kutia maji,
  7. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari. Kwa yeyote anayehitaji mbeguza azola kuanzia kilo moja hadi gunia kadhaa nomba anitafute kwa simu Namba 0624924930.pia...
  8. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Mkuu bado na hii kozi ni ya ualimu, isipokuwa yenyewe inahusu uchumi tu , ila bado ni degree ya elimu
  9. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Mimi tayari ni mwalimu, nataka kwenda ku upgrade tu
  10. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Wakuu kwema? Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma, sasa mwaka huu napanga kwenda kujiendeleza kielimu, sasa kuna hii kozi je...
Back
Top Bottom