Recent content by Super Sub Steve

  1. Super Sub Steve

    Leo nimeenda bandari ya Dar es Salaam. Ni kichaa pekee atamdharau Rais Samia

    Pale Kimara ujenzi umesimama shida nini?
  2. Super Sub Steve

    Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Raia si ndiyo watakuwa wanaandamana,sasa usumbufu kwa raia wapi tena wakati raia ndio watakuwa wanaandamana
  3. Super Sub Steve

    Za Lameck zinahesabika?

    Yaliyomkuta Chongolo
  4. Super Sub Steve

    Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Hayo unaongea wewe,yeye kasema hataki kifungo cha miaka mitano,kasema aachwe huru au ahukumiwe kunyongwa fullstop
  5. Super Sub Steve

    Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Sheria katunga yeye mwenyewe,TRA wanatekeleza anaona wanakosea
  6. Super Sub Steve

    Kuna nini, kufilisika?

    Kuna kupunjwa punjwa
Back
Top Bottom