Recent content by super-doll

  1. super-doll

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    😂😂😂😂tuendelee kuvumiliana Chalamila kuwa makini na masuala ya imani za watu
  2. super-doll

    Kelele kutoka kwenye makanisa yaliyo maeneo ya makazi ya watu ni uchafu wa mazingira

    Mbona ht misikiti ipo baadhi wakianza adhana mpk kero Mkiambiwa kuvumiliana ndo hii ss
  3. super-doll

    Mama wa Kambo Jela miaka 49 kwa kumlisha mtoto sindano 49! Je, watoto wako salama mikononi mwa wazazi wa kambo?

    Wanaume ndo chanzo cha haya yote huwa mnayataka haya mambo mnalazimisha watt mliozaa nje waje walelewe na wake zenu, kwann? Mnaona madhara yake? Na we mwanamke unakubalije mtt wako akalelewe na mwanamke mwingine ilihali we upo mzima? Jmn kila 1 aleee mwanae km alivyozaa mi huu ungese siupendi
  4. super-doll

    Chalamila, acha kushambulia makanisa ya kiroho kwa faida zako za kisiasa

    Huyu mbona hana muda mrefu subiri uone naona kajisahau
  5. super-doll

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Kwa sbb juna mashine ya nn kuchoshana? Yaani sshv ht kudeki , kuosha vyombo vitu vipo jmn ndo maendeleo
  6. super-doll

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Surq ya nn tena mkuu
  7. super-doll

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Sifui Ndo maana halisi ya maendeleo sifanyi hiyo kazi mimi
  8. super-doll

    Wadada walioyosoma wanajisheua sana!

    👏👏🤝
  9. super-doll

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Bora tu Ht angempeleka huko asingesaidiwa Malawi jau
  10. super-doll

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Mbona wasifu wa mzee hamuongelei? Mbona jinsi familia ilivyo na mshikamano, ujasiri tangu vizazi na vizazi ilivyo na wasomi hamuongelei? Machawa mna shida
  11. super-doll

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Sema uvccm na machawa sio waTz wote mkuu😂
  12. super-doll

    Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

    Yaani nashangaa Majini mi nayakemea wao wanaishi nayo🙌
  13. super-doll

    Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    Ukute ht za kwao bora hiyo
Back
Top Bottom