Recent content by Sumu

  1. S

    Ooooppppssssss!!!!!

    Uzi tayari.
  2. S

    wadada weupe wanapendwa mno!

    Utakuwa upo kwenye joto wewe binti.
  3. S

    Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

    Ukimuacha nichukue na mimi.
  4. S

    Wenon battery je ni bora na imara ?

    Hapo mhindi aliupiga mwingi.
  5. S

    Wenon battery je ni bora na imara ?

    Achana na hizo batteries uchwara utakuja kuunguza gari. Nunua Amaron.
  6. S

    Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Ahsante sana mkuu kwa ushauri mzuri.
  7. S

    Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Kuna mtu amekuzuia kuhamia huko Kenya ukaangalie hiyo mechi?
  8. S

    Bodaboda kuzikana kwa maandamano

    Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya.
  9. S

    Bodaboda kuzikana kwa maandamano

    Wawekewe utaratibu kama maandamano mengine. Wanaandamana na mapanga hadharani na kuleta fujo barabarani. Hawa vijana wa bodaboda ni bomu linalosubiri kulipuka wasipodhibitiwa mapema. Hasa kwa huku mikoani.
  10. S

    Kila mmiliki wa Nissan Murano ana story ya kusimulia...

    Tunaona mitandaoni mafundi wazungu wanasema gari nzuri zinazodumu ni TOYOTA. Mkazi wa Pugu unatuambia gari ni matunzo. Tumsikilize nani?
  11. S

    Bodaboda kuzikana kwa maandamano

    Sijajua kwa huko Dar ila huku mkoani miaka ya karibuni kumetokea utaratibu wa dereva bodaboda kuzikana kwa maandamano. Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya inakuwa fujo barabarani siku ya maandamano. Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane...
  12. S

    kuna gari ya petrol isiyo hybrid inatoboa zaidi ya lita moja kwa KM 12 kwa mizunguko ya kawaida ?

    Gari la 2005 litembee Km 12 kwa lita 1? Za kuambiwa changanya na zako mkuu.
  13. S

    Maendeleo ya magari yana mshahara mbaya wasiotuambia

    Kwahiyo tuendelee na Rav4 Massawe zetu?
Back
Top Bottom