Recent content by Sumaku

  1. S

    Je, Tumwombe Zitto Kabwe Afute Kauli Yake?

    Aliyoitoa Kigoma, kuwa 2015 atagombea Urais. Ni kwa tikiti ya CHADEMA? Au yeye hamuoni Dr Slaa?
  2. S

    GE2010 Kilichonishtua Juu Ya Dr Slaa Pale Mwembetogwa

    Na Maggid Mjengwa, Iringa ni ngome ya CCM. Jana jioni Dr Slaa alitua Iringa na kuvuta umati mkubwa wa watu. Nilikuwapo pale Viwanja vya Mwembetogwa. Nini aliongea na kina nini ndani yake, nitachambua hapa kwa ufupi; Nilifika viwanja vya Mwembetogwa saa kumi na robo jioni. Tayari Dr Slaa...
  3. S

    Jenerali Ulimwengu: " Ewe Jakaya Mwema!"

    Jamani naitafuta makala hii ya Jenerali Ulimwengu. Ilitoka katika jarida la Rai ikiwa na sehemu kama tatu au nne. Ilikuwa ni barua ndefu fulani ikielezea jinsi Ulimwengu alivyomfahamu Jakaya Kikwete tangu enzi za Umoja wa Vijana wa TANU. Hivi Ulimwengu alizungumzia nini zaidi katika barua ile...
  4. S

    Prof. Mbele: " My Articles In KWANZA JAMII"

    ( Kutoka kwanzajamii.com) Early last year, Maggid Mjengwa, owner of Mjengwa blog, invited me to write a column for Kwanza Jamii, a weekly paper he was starting. For most of the year, I wrote this column. The paper appeared in print and online. The print version ended at the end of the year, but...
  5. S

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    Profesa Mbele: Wengi waanza kutambua ubora wa JK Binafsi, niliona dalili za ubora wa uongozi wa JK tangu mwanzo, na sijaficha maoni yangu, pamoja na kushambuliwa na wengi, wengine wakidai kuwa nawania cheo katika serikali ya JK. Sijawahi kusikia mambo ya kipuuzi kama hayo, kwani mimi naamini...
  6. S

    Kwanini tunakwenda shule?

    Nikiwa Mwanza hivi karibuni, nilimwona mtoto huyo aliyelala na kushika tama kila asubuhi niliyokuwa nikifanya jogging. Nilipokwenda nikikimbia, nilimpita akiwa bado hajaamka, na niliporudi kukimbia nilimpita akiwa hajaamka. Kwake ilikuwa ni mapema mno, saa kumi na mbili na nusu asubuhi. Lakini...
  7. S

    Mjengwablog imechemsha, au imehujumiwa?

    Ina karibu wiki nzima bila picha mpya. Ukiingia huko kuna maelezo ya hitilafu za kiufundi. Kule Kwanzajamii.com hivyo hivyo, hakuna fundi mitambo! Isije ikawa wamehujumiwa.
  8. S

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    ( Nimeyanasa maoni ya profesa kule kwanzajamii.com) 18 January 2010 13 views No Comment Emma, Mimi niliongelea suala la uhusiano wa JK na wapinzani. Kama una kipingamizi kwa hoja nilizotoa kuhusu kipengele hiki, andika hoja zako tuzisome. Mimi ni mwanataaluma, na taaluma haijui mipaka...
  9. S

    Serikali ya Libya yajitokeza Kusaidia Athari Za Mafuriko Kilosa kuwajengea Nyumba 200

    Jamani kuna mambo ya ajabu,lakini pia yapo ya kushangaza. Hii post yako inanishangaza? Hivi yale mafuriko yalibagua huyu Muislam na huyu Muanglikana au huyu hafuati dini yoyote? mm!chuki hufunika busara. Unaonaje endapo taasisi rasmi za kidini kama Vatican na nyinginezo zingetoa misaada...
  10. S

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    15 January 2010 "We believe, in fact, that a second party will not need to grow provided that a broad two way channel of ideas and education is maintained through TANU between the people and the Government. It is the establishment and maintenance of this channel of...
  11. S

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    13 January 2010 Mimi ni m-Tanzania ambaye si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Sizuiwi na yeyote au chama chochote katika kutoa hoja na misimamo yangu. Wala sina sababu ya kumbembeleza au kumwogopa yeyote. Siwanii cheo kutoka kwa chama chochote, kwani si mwanachama na sitaki uanachama...
  12. S

    Bi. Mkora amfunda Zitto Kabwe!

    11 January 2010 Zitto kazana na shule, achana mambo ya siasa kwa sasa.Siasa utazikuta ukishapata PhD yako, si una ndoto ya kugombea urais wewe? Sasa ukifeli hiyo shule hiyo ndoto yako utaitimizaje? Mshika mawili moja humponyoka, kazana na shule wee, kwetu Ujiji wasomi wanahesabika lakini...
  13. S

    Dawa ya Ufisadi:Tanzania Itawaliwe Kidikteta?

    Inaelekea wenye mawazo hayo wana dosari katika ufahamu wao kuhusu maana ya UFISADI. Ufisadi kwa Kiingereza ni Corruption, ikijumlisha matumizi yote mabaya iwe rasilimali,uongozi nk. Hili neno lina asili yake,turejee kwenye asili ya neno ili tuipate maana halisi ya UFISADI,NDIPO TUWAJUE...
  14. S

    Mzee gani anaweza akasimama na kutoa mwongozo wa mwelekeo wa taifa?

    (Mjadada umechokozwa kule mtandao wa kwanzajamii. Nimeunasa) 22 December 2009 1 views No Comment Mdau said: Ni mchomeko tu, wadau hii imekaaje? Mzee gani anaweza akasimama na kutoa mwongozo wa mwelekeo wa taifa? MWANDISHI WETU Tangu mwaka 1990 Rais Ali Hassani Mwinyi alipoanza...
  15. S

    Kwanzajamii limeingia kaburini?

    Jarida la Kwanzajamii halikuonekana mitaani leo. Kwenye mtandao wa kwanzajamii.com nimeunasa mjadala wa wadau wenye kulaumu uongozi wa gazeti hilo kushindwa kulitoa mara moja kwa wiki na kulifanya kuwa la mara moja kwa mwezi. Je, kwanzajamii ndio linaingia kaburini? Mara moja kwa mwezi ni...
Back
Top Bottom