Recent content by SULWE

  1. S

    Aibu kwa kijana uliepewa mkopo 100% na Serikali kuishambulia na kuizushia

    Mwandishi ni bora usinge zaliwa Tanzania, ni aibu .
  2. S

    Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Wewe umetokea wapi penye nafuu, Kwani Nyumbani kwao Magufuli hali ikoje?
  3. S

    Lazaro Nyalandu akisalimika kwenye hili fagio la chuma la Dr. Hamisi Kigwangalla, akatambikie

    Mbona uwizi wa nyalandu mnauona akiwa upande wa pili
  4. S

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Hivi kazi yako nikutafuta upande au kuonyesha uhalisia kweli uliopo.
  5. S

    Vijana nchi waipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kufanikiwa kulinda rasilimali za taifa

    Vijana kutoka wapi kama siyo mipango yenu lumumba kutafuta sifa.
  6. S

    Faida tutagawana nusu kwa nusu: Mtego ni kuwa hata hasara tutalazimika kugawana nusu kwa nusu!

    Hayo pia ni mawazo kama ya wengine, japo hayana logic.
  7. S

    Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

    Mwandishi umefeli kufikiri juu ya mgao wa 50/50
  8. S

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Naomba nikupongeze rais wangu kwa Uzalendo , lakini wasiwasi wangu ni je unatuongezea faida au unazamisha taifa, Je nikweli vita hivi vya bl. 700. Zilitosha kuwaondoa maisha wapiganaji wasaliti, je kunahaja ya kuambiwa yupi mzalendo wa taifa hili, je gharama...
  9. S

    Majimbo ya kukombolewa 2020

    Ni majimbo gani yenye maendeleo makubwa vijijini mkononi mwa Ccm.
  10. S

    THE CONFUSED PROF. I SALUTE YOU

    Kwa mara ya kwanza jamii yako ya Iti wameanza kukubali jitihada zako katika uongozi. Wiki hii umeonyesha jitihada kubwa kulidhihirishia jamii yako (Wana Itilima ) kuwa ukiamua unaweza, umetumia utaalam wako katika political science kuliongoza jopo hilo kwenye mkutano...
  11. S

    Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

    Hivi tumuombee aendelee kuwa n'a hekima ? Au apate hekima.
Back
Top Bottom