Thumb up guys for the standpoint on what you think its right. Tuko pamoja nanyi on this ila muendelee hivyohivyo na msimamo msije mkapewa vikamati huko bungeni mkasahau kilichowapeleka kwa kuonjeshwa vijisenti vya serikali.
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya...
Ni kweli kila mtu ana yake ya kusema lakini ifahamike kuwa no body is perfect lazima kutakuwa na mapungufu tu. Hayo ya UDOM yanayoonekana kuwa ni kero ni kasoro ambazo hatuwezi kuzikataa halafu si UDOM pekee. Mwanzo mgumu hasa unapokamia game jamani.
Na nyie wana-UDOM mnaokidis chuo...
Hodi wana JF, nimekuja kwenye jamii japo nimechelewa lakini naamini sio sana. JF kweli inajenga na kurekebisha nashangaa kwanini nimechelewa kujiunga na hii jamii. Naomba wana jamii mnipokee ili kwa pamoja tusonge mbele na tuisukume Tanzania yetu.
Uchaguzi haikuwa vita ni sehemu ya demokrasia, kama kuna mapungufu yalijitokeza basi ni kujipanga upya kuhakikisha hayajitokezi tena 2015. kwa sasa our focus must be katika maslahi ya taifa zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.