Recent content by stonecutter

  1. S

    Mtego uliomnasa Samsoni ,Tundu Lissu aliuepukaje?

    Unapokumbuka kwamba mtu aliyeshika kisu kutaka kukuchoma nacho leo, kwamba ndiye huyo huyo alikuja kukuona juzi ukiwa umelazwa hospitali na kukupa pole, yaani unachanganyikiwa.
  2. S

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Kumbe unaweza kula makande ya maharage, ukavimbiwa, ukaanza kuweweseka na maweweseko ukayaita UTAFITI wako.
  3. S

    Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

    Nadhani hakuna kwasababu wote ndo walewale.
  4. S

    PostGE2025 Oktoba 29 inakuwa maombolezo ya ki Taifa kama utani; kama kuna watu wanasema watanzania watasahau anachekesha

    Hivi wewe ni binadamu wa kawaida kweli? Au mashetani walio na miili kama binadamu.
  5. S

    PostGE2025 Maelfu Wajitokeza kwenye Misa ya Maombolezo wakiwemo Polisi, Bendera zote zapepea Nusu Mlingoti kasoro Bendera ya Tanzania Pekee

    Akiondoka tu, maombolezo ya kitaifa yataanza na yataendelea hadi mwisho wa dunia. Bendera nazo zitakuwa huru kushushwa nusu mlingoti.
  6. S

    Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

    Hapo sasa. Sera za taifa sijui kama ataendana nazo.
Back
Top Bottom