Recent content by STOCKTON

  1. S

    Msemo wa Leo....

    bata ahaharisha hata kwenye watu wengi
  2. S

    Equivalent kilio chetu vipi? Na hii serikali

    asante kaka mwiita kwa taarifa zako za kuwa waziri amesema kuwa wanafunzi wa Equivalent watapata mikopo.Ngoja tusubiri tuone kaka.
  3. S

    Kuhusu wasiojaza form ya mkataba wa HESLB

    hizo habari zinanenepesha mifupa...ingawaje hata mm nimecheck kwenye bodi cjaona changez zozote.Ila ngoja niamini tu coz one day yes.
  4. S

    Kwa wale waliochaguliwa udsm bila mkopo, jaman j3 ndio hiyo, opening day

    Dah! mm sijachaguliwa udom ila nina kesi kama ya kwako kaka......nimechaguliwa ardhi university ila sina mkopo,inaniuma sana....sasa sijui pesa wamepeleka kwenye uchaguz igunga au vp.Mbaya zaidi sisi tunakopa na tutarudisha na ndiyo maana walianzinsha system ya online application ile iwe rahisi...
  5. S

    Kuhusu equivalent waliokosa mikopo

    Jamani mimi nashangaa kitu kimoja.Kama bodi ya mikopo mwaka huu haitoi mikopo kwa wanafunzi wenye EQUIV QUALIFICATION kulikuwa na haja gani ya kuweka vigezo vya EQUIV QUALIFICATION kwenye form zao walizotoa za kujaza online?.Pia kwa nini wasingetangaza kuwa wenye EQUIV QUALIFICATION hatapewa...
Back
Top Bottom