Recent content by steveachi

  1. steveachi

    Zitto Kabwe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Club ya Simba Sports

    Hatumtakiiiiiiii, ana uharakati mwingi sana,atamletea uanaharakati wake Mo na kuiharibu timu
  2. steveachi

    Sijajua kumbe hadi wachungaji ni wanga aaaa

    Hahahaaaaa,kanatuona sie mafalwaaaaa
  3. steveachi

    Sijajua kumbe hadi wachungaji ni wanga aaaa

    Na atahama sana makanisa,bado kulihama kabila lake tu,🤣🤣🤣🤣
  4. steveachi

    HABARI WADAU

    Kwa uimara uongo ila kwa ulaji mafuta ni balaa hasa ukiipata Nissan Note DIG-S
  5. steveachi

    Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Naunga mkono hoja,tusikae kizembe
  6. steveachi

    Kuna mwenye abc za wanawake wa kipare?

    Utaacha ndala,akitokea tu mkaka mpare mwenzake anakaa karibu na nyie anamkula,labda aamue mwenyewe asimuombe mzigo,ni wepesi sana kuliwa na watu wa kabila lao hata kama wameolewa,hasa kama wapo mbali na Kilimanjaro,hawaaminiki kabisa kwa wakaka wa kutoka kwao
  7. steveachi

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Basi mchukueni nyie na sisi tupeni Hersi kama mnampenda sana
  8. steveachi

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Kwa hiyo nyie vyura ndio wa kututakia heri sio?
  9. steveachi

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Sasa hivi Simba wote tupo na Mo,tumeshamshtukia Mangungu ni project ya gsm pale Msimbazi na ndio maana daima Mangungu hupendwa na mashabiki wa Yanga na sio Simba na ndio maana pia kila timu inapoanza kusimama yeye hafurahii,daima hutaka kuiangusha
Back
Top Bottom