Recent content by stefanoz

  1. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Poa, sijaacha bado naendelea. Nitafanya vyote huku nasukutua huku nameza dawa.
  2. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Shukrani ngoja leo nifanyie kazi. Ubarikiwe sana
  3. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Amen asante 🙏🏽
  4. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Madonda au uvimbe kwenye nyama za koo.
  5. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Asante sana, nafikiri wazo la ocean road ndio kipauembele alafu baada ya hapo tuone matokeo. Mimi nitakutafuta baada ya hapo kama ulivyoonesha utayari. Nashukuru sana
  6. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Nisaidie mkuu, nimejaribu kukucheki PM nimekosa access.
  7. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Sorry mkuu, mrejesho wangu haukuwa na nia ya kudharau dawa uliyopendekeza
  8. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Sawa nimekuelewa. Nikienda ocean road nimuone Dr wa kitengo gani specifically au kama kuna jina la Dr ingesaidia sana unajua hizi hospital kubwa ukienda bila directions ni mtihani
  9. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Nilienda kwa specialist Ekenywa hospital
  10. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Shukrani mkuu nitampigia niongee nae.
  11. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Sidhani kama ni matapeli nafikiri tunaweza kuwa na experience tofauti ya ugonjwa. Nikisema tonsi sugu maanake nimeshajaribu dawa tofauti na zinadunda so wengine nafikiri wanadhani ni hizi tonsi za kawaida tu.
  12. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Hakuna maendeleo yoyote. Tonsi zimechachamaa leo asubuhi nimeamka sio poa.
  13. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Haisaidii. Dawa ukitumia siku 3 na kuendelea utaanza kuona mabadiliko sio kupona kabisa, sasa hii yako hamna lolote jipya.
Back
Top Bottom