Recent content by stacygab

  1. S

    Naomba kufahamishwa haya kuhusu kuagiza mzigo China

    faiza ally anafanya hiyo kazi pia....fatilia instagram acc yake
  2. S

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    ungeanza kujibu swali kwenye uzi huu…..au sio swali la kijasiliamali?
  3. S

    Vifaa gani natakiwa kuwa navyo ili kuwa mpiga picha

    Msaada tutani, Napenda kazi ya kupiga picha. Je, ni vifaa gani muhimu natakiwa kuwa navyo kwa kuanza? Je, nitumie camera aina gani yenye specification zipi ili niweze pata picha nzuri, nimeshawahi fanya kazi hii nilipokua shule nilitumia digital camera (sony).. Kwasasa nataka niboreshe...
  4. S

    scholarship

    sio scholarship zote zinahitaji hivyo vitu, hakuna kitu kizuri utapata kwa urahisi
  5. S

    scholarship

    tembelea website ya wizara ya elimu, wizara ya nishati kuna scholarship
  6. S

    scholarship

    hivi kwanini vijana wengi hatutumii hizi fursa za scholarship ili kujiendeleza kielimu,tunafeli wapi vijana? wengi wetu tuna mtizamo hasi kuhusu hizi nafasi za ufadhili. shida iko wapi
  7. S

    Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

    Maisha yanabadilika kwa kasi
  8. S

    Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

    Habari zenu, naomba msaada kwa anayefahamu ni wapi naweza pata mashine kwa ajili ya kukaanga karanga kwa ajili ya biashara.
  9. S

    Gharama za UFUNDI wa kuweka marumaru.

    :D:D:D:D:D:D
Back
Top Bottom