Recent content by stable woman

  1. stable woman

    KERO Kuna kero ya Michango ya Uandikishaji na Chakula Shule ya msingi Mkuza

    Admin mimi ni mzazi na mjumbe wa shule nipo mkoa wa Pwani Manispaa ya Kibaha kata ya Picha ya ndege shule ya Msingi Mkuza Ndugu admin naomba niseme kero yangu katika hii shule huu mchango wa Chakula umekua haupendezi kutokana na mbinu wanayotumia kudai michango walimu hao wawili wanachapa sana...
  2. stable woman

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:07 mida ya maombi Tumtangulize Mungu
  3. stable woman

    Natafuta mwenza

    We endelea kujimwambafai wanawake wakiisha mtakao anza kuolewa ni wanaume weupe hahaa
  4. stable woman

    Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Na sahv wanawake tumekubaliana tukikufuma ni kifo tu au tunaondoka na nyeti[emoji28]
  5. stable woman

    Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Yaan huu ni utashi ambao tunao kweli!
  6. stable woman

    Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

    Kikubwa ni kupambana tu mpaka pumzi ya mwisho kwaajili ya watoto wetu! Wao hufurahia tu wanapotuona ndio wanaotupa nguvu ya kupambania maisha usikate tamaa jitie nguvu mtumishi mwenzangu!
  7. stable woman

    Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

    Unatumia kinywaji gani mkuu? Nikupongeze
  8. stable woman

    Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

    Dunia haina siri brother endelea kulea kitoto cha simba ukidhani nyau! Yakikukuta uje utusimulie uwe shamba darasa
  9. stable woman

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Na wengine ukimwi walizaliwa nao!
  10. stable woman

    Ukiwa na familia kubwa kubali kuwa na wachagua vyakula

    Hiyo ratiba yake natamani niione
  11. stable woman

    Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

    Na watoto wako wanalelewa na nani?
  12. stable woman

    Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

    Kwhy na wife ukimchiti naye ruksa akuzungu kwa petrol?
Back
Top Bottom