Recent content by sseni

  1. sseni

    Mwanafunzi wa kidato cha pili akutwa nyumbani kwa Mwanaume anayedaiwa kuwa Mwanajeshi jijini Arusha

    Apewe tuu aishi nayo hata wakimwacha ashajua utamu wa m**o hawezi kuacha na atawafunga wengi kwa kisingizio cha mwanafunzi
  2. sseni

    Wanaume tuna tatizo gani?

    Kuwa mwanamke tuu uone si approach bali kutongozwa hadi uchoke
  3. sseni

    Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Utasikia nakupa barabara ya ally hassan uitumie unavyotaka halafu ni kulala na kukoroma tuu
  4. sseni

    Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

    Halafu unamkuta peponi kama nakuona utavyohamasisha maandamano huko kwa Mkuu
  5. sseni

    Baba akiniulizia muambie nimetoka nitarudi wiki ijayo. Uwaangalie wadogo zako

    Shida ni umeshampa nafasi ya kukuletea ugali nyumbani, lazima uvumilie tuu hamna namna kwa kweli
  6. sseni

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Tunatuma wapi hizo taarifa zetu madereva
  7. sseni

    Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

    Kuna mmoja kijora hakina Mwanandani kabisa maboga yanacheza cheza kama anaenda kucheza chura kwenye kigoma pale Buza....! Na kwa pembeni Kuna vitoto viwili vya 2000 viko masuruali Mabwanga na vi tishet vyeupe hahaha...
  8. sseni

    Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Na kwa kuwa ndiye raisi wa kwanza wa kike atavunja tuu rekodi na tutamtambua kama Mama wa taifa
  9. sseni

    Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

    Ila PoMbE mbaya sana hasa ukilewea chumbani peke yako...
  10. sseni

    Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

    Mimi nimeelewa kuwa, unafuu upo kwa serikali na mfumo wa wapigaji ila wewe na mimi makamuzi ni kama jana na juzi tuu...! Kama unanunua kitumbua kwa Mama Mwajuma wa buza tsh 50 nakuja kukuuzia Mama Precious wa kishua tsh 500.. sijui umenielewaa...!!!
  11. sseni

    TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

    Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya elfu mbili nineambiwa nilipe elfu mbili ili aongee na muajiri wangu niendelee kufanya kazi takukuru namba zenu hazipatikani
  12. sseni

    Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Dudu kubwa na nyeusii tiii.... vp unapenda mkuu....!!?
Back
Top Bottom