Recent content by srinavas

  1. srinavas

    Majini yanaishi chooni, usiweke choo chumbani!

    Sasa itakuwaje tena kuhusu kukaa kwenye nyumba za Self container,
  2. srinavas

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Kuna yule Bwana mmoja alikuwa mtaalam wa Tiba humu ndani. Nadhani anaitwa Mzizi Mkavu. Unaweza kujaribu kumcheki unaweza pata suluhu
  3. srinavas

    DRC: Wanajeshi 66 wahukumiwa kifo kwa kosa la woga vitani

    Ama kweli kazi ya jeshi sio Lelemama, Hongera sna kwa wapambanaji wote. Kumbe huwa hakuna kurudi nyuma
  4. srinavas

    Mzazi Kimara Baruti aomba Wizara ya Elimu kuingilia kati baada ya Mtoto wake kupigwa na kufanyiwa ukatili Shuleni

    Ni Kweli Tunatakiwa Kuwalinda watoto wetu, Ila kuna namna huyu mzazi amepaniki ambavyo sio sawa. Kwanza kabisa Hatujui Hiyo Story ya Chooni Imekaaje maana tumesikia Upande Mmoja Tu, Usije kukuta mtoto wako ndio Chanzo pia. Hivyo huyu mzazi angepunguza Jazba na issue ikafatiliwa Taratibu kujua...
  5. srinavas

    Jinsi nilivyo tapeliwa kwenye betting

    Billion 155 sio mchezo mzee. Hata ile pesa yetu tuliyokusanya kwenye daraja letu moja pendwa haijafikia pesa hiyo.. Nimejaribu kuangalia hiyo kampuni ya Betting nimeona ni matapeli. Pole sana mkuu.
  6. srinavas

    VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Nadhani haya ni makosa yao Binafsi. Sioni kama Taasisi Inahusika hapo. Haya ni mawazo yao wenyewe.
  7. srinavas

    Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

    Wewe endelea kukaa kujidanganya hapo , Badala ya Kuchukua Tahadhari. Halafu baadae unakuja kuilaumu hiyo hiyo serikali na Taasisi zake. Majanga yakishakupata. Jamani Tuchukue Tahadhari na hii El Nino.
  8. srinavas

    KERO Tegeta wafanyabiashara watakiwa kutoka kwenye Maeneo yao ya biashara haraka iwezekanavyo, walalamika kuwa walishaandaa vyakula

    Kweli kabisa yaani watu huwa wamekaliaga lawama tu muda wote. Na ilhali ukija kuchunguza unakuta wao wenyewe ndio waliokosea au wamekiuka makubaliano. Hivi kweli kuna watu wanaweza wakatoka majumbani kwao tu wakaenda kufunga biashara za watu bila sababu za msingi kweli.??
  9. srinavas

    KERO Tegeta wafanyabiashara watakiwa kutoka kwenye Maeneo yao ya biashara haraka iwezekanavyo, walalamika kuwa walishaandaa vyakula

    Habari hii ilipaswa kuusikia na Upande mwengine wa hao waliowafungia hawa wafanya biashara. Maana hapa unaweza kukuta hawa walipewa taarifa rasmi na Barua na kukumbushwa hata mpaka jana. Ila wabongo wanapenda kuleta mazoea mengi na Ubishi. Sasa wakija kufungiwa namna hii wanakuja kuanza...
  10. srinavas

    Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Sasa Mkuu foreigner si ndio balaa kabisa. Maana hao wanakufunga kabisa na kukufilisi na kukunyima watoto. Kama utakuwa unakumbuka kisa cha marehemu kaka yetu Le Mubebez Superbrand mzee wa Mambelez, Mambo yaliyomkuta
Back
Top Bottom