Recent content by sportstore

  1. S

    Vodacom kama huduma ya alipay na alibaba kulipia zimekufa waambieni wateja ukweli

    Wiki sasa toka nijaribu kufanya malipo alibaba au alipay huduma hamna ..alibaba inasema sytem maintanance alipay ndio hata invoice haziupload na zikiupload zinafail....Kama huduma hii imekufa waambie wateja watafute njia mbadala ....Service za huduma yenu hii haiendani na kasi ya dunia ya...
  2. S

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Niko kwenye SGR hicho kipande cha dodoma kuja morogoro sio poa kabisa...kuna mama anauliza hapa hawa watu hapa wanaishije..ni kukavu hatari hadi huko juu milimani...
  3. S

    Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    ndio mnavodanganyika....staff wako lockup
  4. S

    Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    watu wanaweka mzigo hulipi marejesho..kutwa kuhonga
  5. S

    Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

    Risk kweli tena great Risk maana CCM kimebaki mikononi mwa polisi.
  6. S

    Tarehe ya Lissu kupigwa risasi ndiyo Mume kaondoka!! ? Jitafakari ujumbe

    Mwingira alishawaambia habari ya lissu very clear....ile message tosha...
  7. S

    KERO SportyBet tunaomba maelezo kuhusu void ya mechi na makato ya pesa

    Siko hapa kujadili mambo mkuu uliyoeleza hapo juu ila niwape angalizo watumiaji wote wa hii app...sportybet ni app hatari nashauri usidownload hiyo app kwenye simu yako ambayo ina sim banking application au app za mobile money...Simu yangu ilishanipa alert kwamba inaweza kuchukua info za finance...
  8. S

    Wakuu, mnapambana vipi na changamoto za ununuzi wa bidhaa nje ya nchi?

    Kwa muda mrefu nimekuwa mwagizaji wa bidhaa hasa china....OGOPA supplier yeyote unayekutana naye facebook, instgram au tiktok etc..USITHUBUTU WENGI NI MATAPELI ..Sehemu salama sijawahi pata matatizo more than Five years ni Alibaba..ingawa sometimes mara chache unaweza pata bidhaa chini ya...
  9. S

    Kwanini ICC ipo kimya licha ya maombi ya uchunguzi wa uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania?

    Utendaji kazi wa ICC Huwa hauwi wazi sana kama watu wanavodhani..na sio lazima watangaze kuanza uchunguzi. Kuna watuhumiwa wengi tu walioenda ICC bila hata hao ICC Kufika kufanya uchunguzi hizo nchi zao au kwenda huko uwanja wa vita kukusanya ushahidi. Kimsingi utendaji wao huwa siri sana na...
  10. S

    Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

    siku si nyingi makampuni ya maji ya kitanzania yataiga kila kitu kuanzia chupa mshikio,ujazo na bei...
  11. S

    Makampuni ya magari ya China yazidi kupata soko la Afrika, sasa yamefika soko la Tanzania

    mwenyewe uelewa ivi Jetour T2 second hand (umeme na mafuta) gharama za ushuru ukiliingiza Tanzania makadirio yake bei gani ?
  12. S

    Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

    katika maongezi yake amesema taifa bado kuna vaccum of power....hili jambo lisichukuliwe kiwepesi...hali si hali
  13. S

    Kinachotokea sasa hivi hapa nchini kilifundishwa na Thomas Aquinas mwaka 1225 mpaka 1274. Naturally wananchi wametambua rais Samia hafai kuwa rais wao

    In sense watu wengi hawamtambui, hawafeel na hawaoni kama kuna serikali.Watanzania wengi kila asubuhi wanaomba hii serikali idondoke na ipotee..thats truth
  14. S

    Waziri Joel Nanauka vitabu vyako na kuongea kwako sasa hivi ungemzidi Modewiji kwa utajiri ila sivyo ndivyo

    Motivation speaker wa mchongo sana yule jamaa kuna sehemu alikiri kabisa anawakubali sana motivation speaker ambao wanafanya practical business na wanafanikiwa...Yuko kinadharia sana..kutoboa ni ngumu kwa Gen Z kwasababu madogo wanataka matokeo na sio maneno matamu
Back
Top Bottom