Uwepo wa kifo usiwe sababu ya kuacha kupambana na kutimiza wajibu wa kuendeleza maisha yako. Usitumie falsafa ya kwamba mwisho wa yote ni kaburini kama kisingizio cha kutowajibika kwa safari uliyo nayo sasa.
Lakini-usipotenga muda wa kutafakari kuhusu kifo, kuhusu mwisho wako, unaweza kujikuta...
Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
Hizo contrast ndizo hata Mungu kaziweka kwa kusudi la asili ili wenye upeo waelewe maana halisi ya kusudi la uwepo wao,duniani ni mahali pa kuelewa maana hata uwapo gizani,ni mahali pa makamnda wa roho kuzisoma alama za nuru katikati ya giza na kelele za dunia,wewe ni moja wapo wa kelele za...
Ikiwa kila kitu kingekuwa katika ukamilifu hakuna ugonjwa wala kifo, dunia hii ingekuwa Paradiso tayari. Lakini asili ya maisha ya duniani ni kuwa na mapungufu, na hayo mapungufu ndiyo yanatufanya tutafute maana zaidi ya maisha haya.Vimbunga,vifo,mafuriko na mabaya yote yasiyoelezeka ndilo kiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.