Recent content by Space2026

  1. S

    Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    Bin mbumbumbu bin zwazwa bin msukule
  2. S

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    mi mwenyewe nilinunua iphone 17 wakati zinatoka basi tu nilijisemea acha nijibless lakini sio kwamba hata nilikuwa naihitaji kiivyo maana hata picha mimi sipigagi. sanasana simu mimi ni mawasiliano na kusikiliza mahubiri youtube.
  3. S

    Sami Awami: Lissu ameanza maisha ya kifungo Gerezani, tayari ameshanyolewa

    Tulia si lazima uelewe kila kitu. Relax
  4. S

    Sirudii kwenda nisipohitajika

    ila pamoja na yote tujifunze kuandika bila kuattack vulnerability ya mtu. kila mtu hukutwa na weakest moment katika maisha na unaweza kujiamini kuwa huna insecurity ila iko siku ukiwa katika your weakest moment utalia machozi kwa kitu ambacho kinaweza kuonekana cha kitoto. Na uzuri ni kuwa...
  5. S

    Tibeli Code: Ni hatari kuonekana tajiri katika mazingira yenye watu maskini

    na mbinu nyingine kuongezea hapo ni kujifanya hujui, huku ikilisha maarifa akili yako kila siku
  6. S

    Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    ni kweli kuna huo msemo. nimeusikia na ninautumia sana. Na pia najua kwa nini ni " a man of his word" na sio "a woman of her word"
  7. S

    Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    5. Mwanaume. huyu kiumbe sio wa kumwamini kwa maneno yake . Amini matendo yake
  8. S

    Marekani: Kijana wa miaka 15 kutoka Ghana auawa kwa risasi na vijana wenzake

    ho vijana bunduki wanakuwaga nazo tu mbona hatari sana hii
  9. S

    Mawazo ya me na ke wapumbavu

    hayanaga formula.
Back
Top Bottom