Recent content by Southern Highland

  1. Southern Highland

    MC Alger wako safarini kuja Tanzania Kucheza na Yanga

    Nasikia wamemtimua kocha wao
  2. Southern Highland

    December Natimiza Miaka Mitatu, No WhatsApp, No IG, Never TikTok or X

    Hata kama ni mfanyabiashara umewezaje kutengenisha hivyo vitu. Naamini Whatsapp inatuunganisha na dunia sana
  3. Southern Highland

    December Natimiza Miaka Mitatu, No WhatsApp, No IG, Never TikTok or X

    Instagram naweza kutoboa. Ila Whatsapp unawezaje? Taarifa nyingi kazini na sekta yangu zinaanzia Whatsapp
  4. Southern Highland

    Hali ni Mbaya sana Pemba. Jamii imeharibika wamezagaa tu Mtaani hawa watu

    Ayaaa kashindwa kulinda mgongo. Sasa tunacheza pungufu
  5. Southern Highland

    Kwanini mapadri, maaskofu wapo kimya katika tukio la ushoga liliotokea?

    Mapadre walishaongea sana kuhusu ushoga mpk ikafikia hatua kanisa likasemwa libaunga mkono mambo ushoga. Wakati huo hao ma sheikh walikua kimyaaa zile am proud to be zikawa nyingi
  6. Southern Highland

    Kwanini mapadri, maaskofu wapo kimya katika tukio la ushoga liliotokea?

    Kuwa na akili timamu hata mara moja dada. Huwa naona comments zako sijawahi kukujibu ila huku umepotoka, utawashwa upupu wa milele ukalilie wanapokupa posho ya uchawa.
  7. Southern Highland

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kazi ngumu hii. Spain mpaka dakika ya 60+ hajachapa kona hata moja na ulimuomba walau kona 3 tu
  8. Southern Highland

    Hakuna kupumzika hadi utawala wa Israel uangamizwe

    Hiyo kazi imewashinda miaka mingi sana. Hawawezi wala hawataweza. Lile taifa mtaishia nyie kupotea acha ndoto za alinacha mdogo wetu
  9. Southern Highland

    Kwanini walokole huishabikia Israel?

    Waliohisi ni utani walijaribu na kilichowapata hawaamini mpaka muda huu.
  10. Southern Highland

    Kwanini walokole huishabikia Israel?

    If arabs lay down their weapons the world will be a no more wars, If Israel lay down their weapons there will be no Israel - Benjamin Netanyahu Chokoza unayemuweza yakikushinda unaanza kutukana. Yoyote anayedharau taifa teule kitamlamba
  11. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Aseeh msimu huu kimetulamba. Hamna kitu tutafanya hata top four
  12. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Unaingiza kina Welbeck utafikiri kuna midfield ya kuwalisha through balls au cross.
  13. Southern Highland

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Backline mbovu. Defense imechoka, buildup hamna ni juhudi ya wachezaji tu.
Back
Top Bottom