Recent content by soul provider

  1. soul provider

    Kama nilisema Manchester ni timu yangu nisamehewe🙏

    Ngumu sana mwarabu kupewa ile timu. Utd ni nembo ya Uingereza, imebeba historia kubwa pamoja na utambulisho wa Taifa lao
  2. soul provider

    Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

    Niko na wife mwaka wa 10 sasa. Upendo na kuheshimiana hasa wote mkiwa na hofu ya Mungu
  3. soul provider

    Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

    Endelea kujiendekeza na hio tabia ya kubadili wanawake kila kukicha
  4. soul provider

    Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    so hapo tunaona kesi ya Wamekeki na Palestin ni vitu viwili tofauti japo wote wapo chini ya vita dhidi ya Mungu mwenyewe.
  5. soul provider

    Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

    yah hata wao wanajiuliza huyu mwamba tukimuachia huko uraiani itakuaje, ndo atazidi kupata nguvu ya ushawishi kwa wananchi
  6. soul provider

    Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

    Uzuri ni kwamba hii kesi inafatiliwa Worldwide, plan zao za kucheza fouls zitazidi kuwaweka pabaya
  7. soul provider

    Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

    mpaka sasa pambano limewashinda watu wa jamhuri, wanachotafuta ni namna ya kuchomoka hata kwa goli la mkono.
  8. soul provider

    Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    jitahidi uwekezaji wako ujikite zaidi kwenye Tumbo (chakula) kutoboa ni rahisi sana. Hapo swali ni HOW? Ntarudi tena
  9. soul provider

    Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

    Nnachojua Mungu hawezi kukupa majaribu kuzidi uwezo wako.. Utapata tu mlango wa kutokea, be strong
  10. soul provider

    Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Jaribu kuhama Mkoa, nenda kaanze upya mbali na hapo ulipo.
  11. soul provider

    Tafuta hela

    Hapo Kwa kuitegea unaangukia kwenye Hela za MAELEKEZO.. hatari sana😁😁
Back
Top Bottom