Recent content by Sophoganyi

  1. S

    Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Akupe na 30% ya hio 150 alafu ile 200 ni yako pia. Shikamoo dalali
  2. S

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager)

    Vipi bando ni juu ya nani. Ba idadi ya posts ni ngapi per day mtandao yote au baadhi
  3. S

    Uagizaji magari nje ni kufuru

    Pesa ipo mtaani ni vile watu tunataka tukae tuu muamala usome kwa simu. Hustlers wanatengeneza hela nzuri mtaani saivi
  4. S

    Private schools zinadai pesa ya remedial class kwa watoto wa darasa la pili , school fees inafanya kazi gani ?

    Rimidyo ya primary ndio ikoje hio. Nakumbuka nikiwa class 6 kuna ile mitihani ya cluster za kata shule kama 12. Sasa kuna mtihani nilipewa majibu na mwalimu kule chooni 100% na bado sikutoboa. Sasa sijui waalimu ma wao vilaza kwa mitihani wanayotunga au izo grade ni just to fill the timetable
  5. S

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Ni Muda sasa David Damian Mulokozi awepo kwa list
  6. S

    Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

    Mkuu iyo M30 ni awamu moja ziko awamu 3. Tanzania iliamua kulipa milion 90 USD kwa kuwa kulikuwa na hatari ya kudaiwa dola za Marekani milioni 109.5 kama ilivyokuwa imetolewa na ICSID mwezi Februari 2024. Malipo haya yako katika vipande vikuu vitatu, na Tanzania itakuwa na muda hadi march 2025...
  7. S

    Sifa za Mshangazi

    Alaf liwe linakula na mirungi. Vijana mtakufa kabla ya utu uzima
  8. S

    Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Maisha ni haya haya tuu. Mtu hakuwa na internet wala simu ila alikuwa na mbuzi, ngombe kuku miti ya matunda hata kwa jirani anapata bure. Wanyama pori ilikuwa mnakimbiza mnaua tuu mnakula nyama choma na pombe za asili inayobaki mnakausha. Hapakuwa na maradhi kama karne hizi. So maisha ni yale...
  9. S

    Kuna familia zina laana ya asili

    Hii ni kitu kabisa
Back
Top Bottom