Recent content by son of a teacher

  1. S

    Rais Samia: Kazi ya Waziri Mkuu sio kuzunguka na kuuliza shida za wananchi kila mkoa

    Hapo madc na rc ndio wanakumbushwa Sio mpk pm au vp au rais afanye ziara kwenye wilaya au mkoa ndio changamoto yatatuliwe kazi yao ni nin Mwalimu wako wa form4 alikuwa na uvumilivu sana
  2. S

    Hivi yale majambazi ya zamani siku hizi yamenyamazishwa na nini?

    Wizi ujambazi hauwezi kuisha kwa 100 percent Ukitaka kufahamu hilo tembelea vituo bya polisi kila siku utapata kujuwa mengi Japo ujqmbqzi wa kutumia bunduki umepungua saana ..sababu kuna walioingia mkataba na.polisi wakirudia wanauliwa ambao wametoka jela na hao.ndio wanakuwa ma informer wa...
  3. S

    Mwanafunzi wa kidato cha pili akutwa nyumbani kwa Mwanaume anayedaiwa kuwa Mwanajeshi jijini Arusha

    Usilinganishe enzi zako za ujima na enzi hii ya technilogy..15 16 17 ni watundu kuliko wa miaka 30s wa enzi zenu za ujima
  4. S

    Dr Congo wamegawa madini kwa Marekani bure, Tshekedi atapeliwa na Trump

    Drc Congo waliingia mkataba na Trump ya kwamba wakabidhi madini yao ya Dhahabu, Copper, zinc,lithium, manganese, cobalt nk na taaarifa yeyote ya madini yajayo yatakayo gundulika wapewe wao Kwa mbadala ya kuwalinda na kuwaondoa waasi na kumpiga mkwara kagame,mwisho wa siku ni kagame bado...
  5. S

    Ni kama watu hawana Imani na tiba za hospital wanapovunjika utegemea wataalamu wa tiba asili

    Huyo jamaa wa magomeni mikumi bila shaka ni dkt sadiki.. Mwenyezi mungu amlinde na ampe umri mrefu mzee ni hazina kubwa Nimeshuhudia watu kadhaa wakivunjika halafu wanarudi bila kuwa na kasoro yeyote mzee ni hatari asee,ukienda moi kwenye kutembea wengi hujulisha ila kwa huyo mzee nina...
  6. S

    Mch Peter Msigwa amvaa msema hovyo Paul Chacha

    Mission maalum huyo Ndio ujue govt nuksi mwaka 2031 utaehangaa anaikandia vhadema na kutoa siri zao Siasahio
  7. S

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Ishu dunia ipo kipindi kigumu sana wazazi wenyewe matatizo vipi kuhusu vijana
  8. S

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Wale mabinti waliovaa hijabu juzi kulikuwa na islamophobic comments sana Lkn leo hukuti comments za kuhusiana na imani au dini yao hawa vijana Ndio tujue watu humu wana islamophobia sana hahaha
  9. S

    Bwana Aretas James Lyimo jiandae kisaikolojia. Hii nchi hakuna haki wala kunyooka

    Wewe utakuwa mshamba mbona huu mzigo mdogo sana kg200 Unajuwa ile meli iliyokamatwa na lyimo ilikuwa na tani ngapi? Au hizi taarifa za DCEA umeanza kuzipata juzi Huyo aliyekamatwa na hizo kg 200 mwaka jana tu nyumba zake za ununio magomeni mbweni zilitaifishwa Mbn mpaka leo anafanya kazi...
  10. S

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Huyu mbwiga kama sijakosea mwaka jana nyumba zake za ununio na magomeni zilitaifishwa ALikimbia nchi ..mwamba karudi kadakwa Afu demu wake alimchomaga aliyewahi kuwa bosi wake saizi huyo bosi kama mpole maisha yamambadilika baadaya kutoka jela, mwamba akawa taita na yeye historia yake imeisha...
  11. S

    Trump anachukiwa kwasababu anaamini kuna jinsia mbili tu na hataki wanaobadili jinsia kucheza michezo ya wanawake. Kabla hujamchukia ongeza na zako!

    Media za republican ziliwachafua wagombea wa democrats kama vile ilhan omar na Abdul El sayyee hawa walikuwa attacked vibaya mno Matajiri wakubwa duniani kama musk amechangia dollar 500million bado matajiri wengi na makampuni makubwa..republican ndio most funded kipindi chote hiki ba wakubwa wa...
  12. S

    Trump anachukiwa kwasababu anaamini kuna jinsia mbili tu na hataki wanaobadili jinsia kucheza michezo ya wanawake. Kabla hujamchukia ongeza na zako!

    Hao hao unaowasema ndio walimrudisha ikulu lakini kwa sera zake mbovu za nje ya nchi na hadi ndani Kupandisha gharama za maisha nchini kwake Na uchale ,ukomedi wake Kutukana na kuwadhalilisha wqandishi wa habari pindi akiulizwa maswali magumu pindi anachaguliwa wapiga kura walikuwa wema...
  13. S

    Rais wa Israeli amteua mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ndani ya siku 28

    Regime change imetokea israel Usa imetokea kidogo Iran regime ile ile..shillingi imegeuka
  14. S

    Sababu 6 republicans na Trump kugalagazwa kwenye uchaguzi mdogo

    1.Siasa za kibaguzi na chuki badala ya sera za kuvutia, 2.maswali magumu akiulizwa D.Trump anawajibu waandishi wa habari kwa kejeli na kuwakashifu na aidha kusifia makalio anatafuta njia ya kukimbia maswali 3.kuikumbatia israel kupitiliza badala ya america first ilikuwa israel first,saizi...
Back
Top Bottom