Ni kweli watoto wetu wanapata shida sana! Maji yanasaidia kiasi.
Kuna hisia kuwa huu MOSHI wa majenereta yaliyotapakaa sasa kwa kukosekana umeme ni moja ya chanzo cha uchafuzi wa hali ya hewa.
Je kuna utafiti na ukweli juu ya hilo wana JF?
Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.<br>
<br>
mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)<br>
ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m) zinauzwa<br>
umeme: upo (nguzo kiwanjani - huhitaji kuongeza nguzo, bali kulipia na kuwekewa...
Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.
mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)
ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m) zinauzwa
umeme: upo (nguzo kiwanjani - huhitaji kuongeza nguzo, bali kulipia na kuwekewa mita ya TANESCO...
INAUZWA:
RAV 4; 5-DOORS; BLUE COLOUR; YEAR 1996; MILEAGE 145,000km; MANUAL.
INAMILIKIWA NA MWANAMKE MFANYAKAZI AMBAYE SASA AMENUNUA GARI MPYA "AUTOMATIC" NA HIVYO KUAMUA KUUZA ILE YA AWALI (RAV 4)
BEI YA KUANZIA NI MILIONI TISA (9,000,000/=).
TUMA SMS YA BEI AMBAYO WEWE UNAWEZA KULIPA...
Fafanua: Hicho kiwanja 25m kutoka MOROGORO ROAD maana yake nini?
Je moje sehemu yake ipo eneo linaloitwa "ROAD RESERVE" ya barabara au ni 25m toka ukingo wa road reserve (kwa sheria za SERIKALI KUU).
Watu wengi wanaweza kuwa na interest lakini ufafanuzi ni muhimu, kwani ikitokea kuvunjiwa ni...
Please help.
Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra ili kusaidia wakati wa penzi.
Kwani huwa napata tabu sana ninapokuwa naye kwenye 6 x 6; hivyo nahitaji msaada jamani! pia sijawahi kutumia (bali nasikia huwa...
Please help.
Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra.
Kwani huwa napata tabu sana nitapokuwa naye kwenye 6 x 6; hivyo nahitaji msaada jamani!
HABARI WANAJAMII WOTE
NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA...
HABARI WANAJAMII WOTE
NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.