Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea??
Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA!
Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
Kuhusu suala la Nyumba tuonyeshe kwanza kwenu halafu tuanzie hapo, suala la mke wa Lissu kutokuja akija wakamfanyia style ya Pambalu utasemaje?? watu wanaopanga kukuua kwa njia zozote wanashindwa kuteka mtoto wa Lissu halafu wamweke kama chambo kwamba tunafatilia mwanao ila omba maridhiano...
Ingekua Mbowe aliibiwa kura akapigwa mabomu masanduku yakaibiwa na mawakala wake wakapigwa na kutekwa siku ile ya uchaguzi ningesema Mbowe amekosewa sana..Sasa demokrasia aliyokua anaihubiri kumbe wala haiamini yeye mwenyewe Kama Mbowe ni utapeli wake wa kisiasa akiishi kwa ujanja ujanja kusema...
Mtu anasema ni Katibu wa Chama anasema sababu ya Lissu kufungwa alaumiwe Makamu wake sasa unajiuliza hivi elimu imesaidia nini watu kama huyu?? mbona hicho chama cha chadema kina watu wengi sana wako jela na wengine wanatoka mkoa anaotoka huyo jamaa kwanini hajasaidia kwanza mkoani kwake watoke...
Hata Mbowe ni kama CCM tu kala kona wewe Mbowe ulishindwa uchaguzi kwenye kura halali mchana kweupe sasa Chuki yao kwa Lissu ni nini??? mtu mzima una roho mbaya kama nini!"! KAMA hunufaiki binafsi na Chadema kwanini hata msiba usiende wakati unajua wazi ulipigwa kwenye kura?? ikiwa uenyekiti tu...
Ila tuseme ukweli Mbowe ni mtu mbaya sana hata misiba haendi wenzie wanapofiwa!! Huyu ni mtu alikua anasema CCM wanakandamiza watu kumbe ni nyoka sasa yeye kushindwa uchaguzi hata msiba wa watu wao wa chadema hakanyagi hovyoo sana
Man U wasipojiangalia watasota sana kutafuta kocha tukiangalia tangu ferguson atoke wameshabadilisha makocha 18 hawa ni wale walioajiriwa moja kwa moja na wale wa muda sasa kwa miaka 13 Makocha 18 hata wachezaji wanachanganyikiwa inabidi watulie wajiangalie shida nini?? Na wavumilie makocha mtu...
Lowasa alisema watu wengi wapewe Elimu sasa wewe unasema Lissu kashika nafasi Serikalini haya zitaje hizo nafasi pia tuone na kwenu wewe Chawa mnuko....
Hao TISS Ndio chanzo cha shida za nchi hii kuna muda inatakiwa idara ile ivunjwe iundwe upya waelekezwe hawako pale ili kulinda maovu na kutenda maovu kwa ajili ya mtu au kundi la watu!!! idara ile ni janga na shida kwa Tanganyika hii....wanatuhumiwa kufanya maovu mengi na kuumiza watu kwa...
Haya mambo ukiyaona mitandaoni humu utafikiri ni uongo kumbe huwa mengine mengi ni ukweli.....Kwa yale unayosikia na kuona upuuzi wa aina hii huwa ni ukweli unafanywa na watu au genge la watu ambao wamejipa mamlaka ya kutesa na kuumiza watanganyika wengine...
Hii nchi imechezewa sana na watu washenzi na wapuuzi...Muungano huu wanaoumia ni watanganyika....Kesi za Maelekezo kama hizi za watu washenzi hawa zinaumiza tu watanganyika..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.