Recent content by smigoo

  1. smigoo

    Usaili TFDA umefikia wapi?

    Jamani kunani usaili TFDA mbona hamna mrejesho wadau naomba tuambizane Sent using Jamii Forums mobile app
  2. smigoo

    Written Interview

    soma research sana
  3. smigoo

    Naombeni kuuliza jamani.

    ok kama uko arusha hiyo ndio bei safari njema
  4. smigoo

    Mabinti wawili wanatafuta kazi ndani

    wana umri gani
  5. smigoo

    Naombeni kuuliza jamani.

    hiyo 35 ni yakufika mwanza kama unatokea arusha. ww unatokea wapi
  6. smigoo

    Naombeni kuuliza jamani.

    unapitia babati, singida, tabora shinyanga then mwanza nauli ni approx. 35+
  7. smigoo

    Usaili wa Afisa Ushirika

    thanks
  8. smigoo

    Usaili wa Afisa Ushirika

    Mimi ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwenye usaili na secretariat ya ajira kwa nafasi ya cooperative officer(afisa ushirika) naombeni msaada wenu kuhusu fomart na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye written yanayo husiana na hii post Asanteni
  9. smigoo

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    naakiingiza kidole akangatwa
  10. smigoo

    LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    hadi leo walikuwa wanapiga simu
  11. smigoo

    Hali ikiendelea hivi, nahisi watu wataanza kuuza vyeti vyao

    ingekua vizuri ww ukawa mfano mzuri( lead by example) kaanze ww tufuate nyuma
  12. smigoo

    Hali ikiendelea hivi, nahisi watu wataanza kuuza vyeti vyao

    kweli ajira ni ngumu ila kwa mawazo yangu mm ni kuhusu mchakato wa kureview vyeti kabla ya kuajiriwa, wengi walioko makazini ukifanya review ya vyeti vyao ni vyakufoji ila wahitimu wenye magamba yao halali wengi ndio hawana ajira. eg nawajua kama watu 3 ambao walifeli form4(div 4 na zero) ila...
  13. smigoo

    PPF-Interview

    online test mkuu
  14. smigoo

    PPF Waanza kuita watu

    ndio mkuu
Back
Top Bottom