Recent content by Slim

  1. Slim

    Wasukuma watamu mno!

    kapicha basi
  2. Slim

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    mkuu bado uko kwenye probation period unalijua Hilo(12months) mudaa huu jitahidi kusoma vizuri mkataba wako WA kazi na kujifunza taratibu ya Sheria za utumishi wa umma jifunze pia mazingira yako ya kazi yakoje culture ya taasisi nk afu Bora wewe suburi tu mwaka au miezi sita ipite uchukue likizo...
  3. Slim

    TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

    Je watazika kabla ya hukumu ya TAL? ngoja tuone.
  4. Slim

    Kwanini ukiingia mahabusu jamaa wanakwambia ukaoge

    vyote tu tena ukitoka na hizo nguo usiingie nazo ndani au uzichome
  5. Slim

    Kwanini ukiingia mahabusu jamaa wanakwambia ukaoge

    vyote tu tena ukitoka na hizo nguo usiingie nazo ndani au uzichome
  6. Slim

    Kwanini ukiingia mahabusu jamaa wanakwambia ukaoge

    kwanini?
  7. Slim

    Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

    yule mama ana tako la aina yake dah
  8. Slim

    Ellon Musk to give away single share through his company to every American child by 2027

    Elon Musk has announced a plan to give one personal share of SpaceX stock to every child in America in 2027. In a post on his social media platform X on October 19, 2026, Musk wrote, “Next year, I will give one of my SpaceX shares to every kid in America. This will be the first of many.” Key...
  9. Slim

    Ombi langu. Tar 6 Mungu saidia Tundu lisu ahukumiwe kunyongwa.

    I guess atafungwa kifungo cha nje na atatakiwa kuripoti Mara Kwa Mara na nyaraka zake zotee za kusafiria zitachukuliwa.
  10. Slim

    Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  11. Slim

    Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

    kadri majina ya pombe za makopo zinavyoongezeka na mauaji pia serikali inabidi iangalie sana hizi pombe za makopo na za kupima zinafanya watu wanakuwa vichaa
  12. Slim

    Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    unafanyia wapi kazi mkuu?
Back
Top Bottom