Hivi jamani, nyie pia mnapata mawazo ya kuachana na ajira ya serikali au ni mimi tu hususani huku tamisemi?kiukweli naona giza sana sijui nyinyi wenzangu ,
Naomba tushare mawazo kidogo kwasababu hapo kabla nilikua nafanya kazi Aga khan hospitals lakini nikaamua kuacha na kuamua kuingia...
Hivi jamani, nyie pia mnapata mawazo ya kuachana na ajira ya serikali au ni mimi tu hususani huku tamisemi?
Kiukweli naona giza sana sijui nyinyi wenzangu ,naomba tushare mawazo kidogo kwasababu hapo kabla nilikua nafanya kazi Aga khan hospitals lakini nikaamua kuacha na kuamua kuingia...
Shamba lipo Msaanga near by chamwino ikulu, Heka 1 ni 3.6m zilo hekari 40 ,kama unaifaham kampuni yoyote au mtu binafsi anatafuta shamba maeneo hayo naomba tuwasikiane zipo heka 40 zinauzwa-0718884570
Kampuni inatafuta mashamba hekari 200 hadi 1000 maeneo ya Lushoto kwaajiri ya ufugaji yawe kwenye miinuko na tambarale yote ni sawa,kama unawenyeji au kama ni mkaazi wa Lushoto Tanga na unafahamu mtu mwenye hekari hizo nitafute nikuunganishe na mnunuzi 0718884570
1. Mdau aliyekua anatafuta mashamba kwaajiri ya ufugaji wa mbuzi Mkoa wa Tanga naomba nitafute, zipo hekari saba na nusu bei ni 1,700,000 kwa heka moja ,mmiliki anauza eneo lote-0718884570
2. Kampuni inatafuta mashamba maeneo ya Pangani ya KIBAHA, kama unaye ndugubau jamaa anauza mashamba...
mkopo wako wa 110 ulichukua lini?na ulikua unafanya biashara gani?
Katika maisha hua inafikia kipindi inakulazimu kuanza upya bila wewe kupenda,
Kubali kuanza upya brother tupo wengi sana tuliopitia hali za namna hii na tupo tayari kuanza upya kitu cha msingi ni kwamba umetambua na kuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.