Wakati watanzania hata hatuna habari na kesi iliyo endelea LONDON leo wazungu wameamua kubeba mabongo kutusemeea juu ya huu wizi!
Check attachments!!!!!!
Hapa sioni issue ya kujiuma uma!ZITO ni Fisadi mdogo.
Rostam unaongea nae nini tena Usiku?Zitto amewasaliti watz long time.
Njaa nyingine hazina maana,halafu CDM kwanini msi mtimue huyu bwana mdogo?hana maana tena
CCM are more than MAFIA for sure!
It's not get in my mind why all this conflicts/rumours/saga is happening now after election,I wonder some members are planted by CCM.The only strong opposition in Tanzania now at risk of getting huge damage on administration!
Real pain....after all effort of...
Sita tuko pamoja kwa haya mapambano,mambo ya kufanyiwa ya KOLIMBA yalikua enzi za mwalimu!OLE WAO WAKUGUSE ndo watajutia kua watz.
Wewe ni mtetea haki live alsiye amini na atuache tupambane hadi mafisadi wakimbie nchi.
Nadhani wewe ni mwana familia wa hawa watu 3.Unataka Sita ataje nini wakati gazeti linasema aliwatajia majina ila kwasababu zao wana withheld.
Umetumwa sio
hivi mbona tuna uma uma maneno?hawa jamaa watatu si wapigwe risasi wafie mbali?tunaogapana hadi lini?
hivi nchi nzima hamna vijana wa kazi wanaoweza kuwapiga risasi kwa wakati tofauti hawa jamaa tumalize utata?
yaani wana nikera sana.najua familia zao zitajisikia vibaya kwa usemi huu ila no way...
Uwezo huo tunao ila kwasababu wachache wanataka wajinufaishe basi hizo flyovers itakua drama.
Barabara ya Tunduma-Sumbawanga hadi leo ni hadithi wkt nasikia BUSH alimwaga hela ijengwe.
Tangu UHURU hadi LEO Rukwa haijaunganishwa na mkoa wowote kwa lami,ni aibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.